Kwa hizi kashfa zinazoendelea, itakuwa ngumu sana kiongozi Mchaga kukubalika

..kweli kabisa.

..pia kuna Wachaga wana mchango mkubwa wa kutukuka jeshini.

..nazungumzia makamanda wa Jeshi kama Muhidin Mfaume Kimario.
kampeni inaendelea kupigwa vizuri, it is with no doubt kuwa moja ya stronghold ya CDM ni Kaskazini. ANapigwa Lema na attack inaenda kwa wachaga (sio kwa bahati mbaya). CDM ikija kustuka influence yake kaskazini inaenda kupotea (Big win kwa CCM).

Ukiangalia maandamano ya oct 2025 - kwa mara ya kwanza nilishangaa Kilimanjaro kutokuandamana kanbisa (influence ya FAM na namna alivyopigwa kwenye uchaguzi wa ndani) - hili la Lema lina impact kubwa na siasa za Arusha mjini kwa kuwa Lema ana influence kubwa sana na siasa za Arusha mjini kwa miongo miwili sasa.

Bahati mbaya ndani ya chama sasa mihemko ni mingi (watu wenye busara wanapungua sana) hawawezi kutegua mabomu ya namna hiyo. Upepo wa kisiasa bila kingmakers na organization nzuri huwa hauna maana kwenye chaguzi kwenye nchi hizi za Kiafrika. Ndiyo maana Kenya wanaungana watu wenye nguvu (sio vyama) - vyama baadaye.

Kama CDM watamtelekeza Lema kwenye hili kama wafuasi wengi wanavyofanya - itakuwa Big win kwa CCM na siasa za Kaskazini (na maeneo affliated nje ya Arusha na K'njaro kama ukanda wa gaza -kimar ana ubungo) - kumbuka tayari wameweza kumanage kilimanjaro baada ya Ndesa kuondoka na baada ya FAM kupigwa sana. waibaki na Arusha mjini na Karatu. Manyara huwa ni swing region...

Na swali la utashi - kama inadaiwa Lema kafika bei, kwani Mange hawezi kufika bei? ili aimalize CDM - kazi ngumu sana hii: ila kete za kuelekea 2030 ni kali mno. zinasukumwa kete ngumu mno aiseee - CDM kazi kwao kuona watareact vipi
 
Umeongea ujinga
Uchaguzi wa kuiba kura wazi wazi nao unahesabia ni uchaguzi na utaoa sifa kwa mshindi sema Tanzania kuna wajinga wengi sana

Chaguzi za Tanzania hazikupi kipimo sahii sababu sio za kweli na haki
 
umejibu kitu kingine kabisa mkuu - nadhani hukuelewa kabisa nilichoandika.

na hiyo ndiyo shida kubwatuliyonayo tanzania, we read to react sio to comprehend na huo ndio mtaji wa CCM
 
Unavyosema chadema wamepoteza ushawishi moshi na kanda ya kaskazini inaamana hujui aina za siasa za Tanzania zilivyo kwa sasa au huishi Tanzania
 
soma tena Bwana Dennis, soma between the lines - Kufanyika maandamano Arusha na yasifanyike Kilimanajaro ni alarming kwenye patterns za kisiasa. Whether CCM ni mafedhuli lakini wanajustfy kuwa walikubalika kilimanjaro. Hizo ndio patterns - Kingmaker wa siasa za Arusha kwa miongo miwili sasa ni Lema, kwa maoni yangu CDM wanatakiwa kum-protect - But dont you see anapigwa Lema halafu tunaona articles za 'uchaga" kupigwa kweli kweli. Impact ni nini - itakasirisha wachaga or itawafanya wawe silent kama wale wa kilimnjaro walivyofanya in protecting FAM. Kasikazini imekuwa base ya politics za upinzani wenye sura ya CDM -kwa vyovyote vile vita kwa Lema ni furaha kubwa ya CCM, Lema kufanikiwa kununuliwa ni furaha kwa CCM, na Lema kuwa attacked kuwa kanunuliwa na akawa hajanunuliwa na wafuasi waka attack hadi uchaga wake ni A VERY BIG WIN kwa CCM. bahati mbaya tunajadili na watu ambao hisia ni nyingi kuliko reasoning - hata wewe si unaona umeniambia naongea ujinga.. too bad.
 
Haswaaa, nina ushuhuda na Wachaga, wao ni Hela tuu.
Mchaga kwa hela hachelewi, ukiwa na hela uchagani baba mkwe anaweza akakuogesha ujue Mana wao ni hela tu wanaangalia. Ukiwa na rafiki mchaga usije ukashangaa anakuuza kwa majambazi ama watu wake ili utolewe hela zako ujue. Mchaga Sasa uje umzidi hela anaumia anakuona wewe hukustahili kuzipata hela hizo Ila yeye
 
Ni wakati gani au mwaka gani mbowe akiwa mwenyekiti wa chadema yalifanyika maandamano au harakati zozote kubwa za kisiasa moshi
Naomba unijibu ni muhimu sana
 
kampeni inaendelea kupigwa vizuri, it is with no doubt kuwa moja ya stronghold ya CDM ni Kaskazini. ANapigwa Lema na attack inaenda kwa wachaga (sio kwa bahati mbaya). CDM ikija kustuka influence yake kaskazini inaenda kupotea (Big win kwa CCM).

Ukiangalia maandamano ya oct 2025 - kwa mara ya kwanza nilishangaa Kilimanjaro kutokuandamana kanbisa (influence ya FAM na namna alivyopigwa kwenye uchaguzi wa ndani) - hili la Lema lina impact kubwa na siasa za Arusha mjini kwa kuwa Lema ana influence kubwa sana na siasa za Arusha mjini kwa miongo miwili sasa.

Bahati mbaya ndani ya chama sasa mihemko ni mingi (watu wenye busara wanapungua sana) hawawezi kutegua mabomu ya namna hiyo. Upepo wa kisiasa bila kingmakers na organization nzuri huwa hauna maana kwenye chaguzi kwenye nchi hizi za Kiafrika. Ndiyo maana Kenya wanaungana watu wenye nguvu (sio vyama) - vyama baadaye.

Kama CDM watamtelekeza Lema kwenye hili kama wafuasi wengi wanavyofanya - itakuwa Big win kwa CCM na siasa za Kaskazini (na maeneo affliated nje ya Arusha na K'njaro kama ukanda wa gaza -kimar ana ubungo) - kumbuka tayari wameweza kumanage kilimanjaro baada ya Ndesa kuondoka na baada ya FAM kupigwa sana. waibaki na Arusha mjini na Karatu. Manyara huwa ni swing region...

Na swali la utashi - kama inadaiwa Lema kafika bei, kwani Mange hawezi kufika bei? ili aimalize CDM - kazi ngumu sana hii: ila kete za kuelekea 2030 ni kali mno. zinasukumwa kete ngumu mno aiseee - CDM kazi kwao kuona watareact vipi
..hujui hata unaloeleza, hapa nchi ilipo unahitaji kusikia lema anasema nini ili umfuate..? Makamu wa rais anatoka hadharani kuonyesha kutounga mkono siasa za ccm wewe bado unataka hadi mchaga mwenzio aseme..juha ndio anawaza hivi! Hakuna mtu yupo kwa ajili ya mtu mwingine..pima uone nini hakiko sawa then stand up! bila kujali lema anasema nini..!
 
..hujui hata unaloeleza, hapa nchi ilipo unahitaji kusikia lema anasema nini ili umfuate..? Makamu wa rais anatoka hadharani kuonyesha kutounga mkono siasa za ccm wewe bado unataka hadi mchaga mwenzio aseme..juha ndio anawaza hivi! Hakuna mtu yupi kwa ajili ya mtu mwingine..pima uone nini hakiko sawa then stand up! bila kujali lema anasema nini..!
ni rahisi kusema hivyo mkuu, lakini siasa haiko hivyo. hakuna msimamo wa pekeyako kwenye siasa. wanasiasa au watu wenye nguvu hudictate watu wafanye nini - that's why Mange akisema Lema kafika bei wapo wengi tu wanafuata huo mkumbo kumslubu Lema. na wengine wanaanzisha nyuzi kama hizi kuwa wachaga hawaaminiki... anyway tusonge
 
Mchaga kwa hela hachelewi, ukiwa na hela uchagani baba mkwe anaweza akakuogesha ujue Mana wao ni hela tu wanaangalia. Ukiwa na rafiki mchaga usije ukashangaa anakuuza kwa majambazi ama watu wake ili utolewe hela zako ujue. Mchaga Sasa uje umzidi hela anaumia anakuona wewe hukustahili kuzipata hela hizo Ila yeye

Wachaga nawajua vizuri sanaa, wao kwenye hela hawana kujiuliza, ni full kusarandia.
 
CHADEMA iwafute uanachama wachaga wote.
Ingekua poa tu, ni ngumu kukaa na watu wenye chuki na kabila fulani kwa makosa ya watu kadhaa

Vincent Mashinji
Mwita Waitara
Godwin Mollel
David Silinde
Joshua Nassari
Peter Lijualikali
Onesmo ole Nangole
James Ole Millya
Peter Msigwa
Nusrat Hanje

Hawa wote waliposaliti hayakutajwa makabila yao
 
Sahihi pia hakuna MTU anaweza akaacha pesa .
 
Ingekua poa tu, ni ngumu kukaa na watu wenye chuki na kabila fulani kwa makosa ya watu kadhaa

Vincent Mashinji
Mwita Waitara
Godwin Mollel
David Silinde
Joshua Nassari
Peter Lijualikali
Onesmo ole Nangole
James Ole Millya
Peter Msigwa
Nusrat Hanje

Hawa wote waliposaliti hayakutajwa makabila yao
Bwashee mimi nachochea tu ili CHADEMA ifeli. Ukiona mpinzani wako anafanya kosa la kiufundi lazima umpe moyo akosee zaidi.
 
Nakuelewa mno , ila hili la lema ila chuki ni kwa wachaga sifikiri kama lina afya kisiasa , hawa wanaharakati ni wapumbavu sana
 
Back
Top Bottom