Nimekuambia kuwa manzania wa kwanza kufanyiwa operesheni kuwekewa k ama maku ,hakuna mtanzania aliyewahi hata afrika mashariki nadhani mko mbele ya muda kwenye ishu ya hela , makabila mengine wakasome. Mnatanguliza mno hela hata wachaga wasio na hela huwa wanawakwepa wachaga wengine wanafanya urafiki na vyasaka ama vishoia, yaani huwa mnawanyanyasa utadhani hela ndio pumzi. Watu waliishi zama hizo hata Sasa ivi watu wanaishi bila ya hela sema nyie mnatukuza hela mno, unauza adi rafiki yako ili upate hela .
Nadhani hata wewe unawaza kuwekewa nyeti ya k ili upige hela Mana hamchelewi , disemba unawapa presha mno utaenda kujigambia Nini huko nyumbani utatumwa maji ya kunawa mikono