Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Waziri amesema wazazi wajiongeze, then baadae ikatoka barua ya kufunga shule kwa muda kutokana na mvua zinazoendelea.
Natamani kuona bajeti ya mwaka huu ya wizara ya mawasiliano itakuwa imesemaje kwenye digital. Sisemi kwamba watoto waende shule, bali wanaweza kuendelea kujifunza wakiwa nyumbani kwa kupitia digitali.
Kuna haja ya msingi ya kufanya mawasiliano yapatikane kote nchi na vifaa vya kidigitali viwe affordable kwa kila mtanzania. Strangely Tanzania ina smartphone milioni 19 tu, wakati tupo watu zaidi ya milioni 60. Yaani wengi hawana smartphones.