Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenyu bhanaa!nna div.3 ya 22,credits 6,phy-C;Math-D;Chem-C. cna F,naweza nkaapply college hapo juu!?msaada wenu wadau.(hz n reslts z o'level)
habar zenu wanajamii forum nahitaji msaada wenu kwa anae kifahamu chuo cha katavi cha kilimo coz nahtaji kujiunga pale xo cfahamu detailz zake. nawaclixha
Habari zenyu bhanaa!nna
div.3 ya 22,credits 6,phy-C;Math-D;Chem-C. cna F,naweza nkaapply college
hapo juu!?msaada wenu wadau.(hz n reslts z o'level)
Habari zenyu bhanaa!nna div.3 ya 22,credits 6,phy-C;Math-D;Chem-C. cna F,naweza nkaapply college hapo juu!?msaada wenu wadau.(hz n reslts z o'level)
unachaguliwa tu mkuu wala usiwe na shaka tena unavojaza form jaza direct entry ww hutafanya hiyo pre entry lakini kwanini usiende advance mkuu?
unachaguliwa tu mkuu
wala usiwe na shaka tena unavojaza form jaza direct entry ww hutafanya
hiyo pre entry lakini kwanini usiende advance mkuu?
Kwa hayo matokeo unapata mkuu. Me mwenyewe nimepiga pale arusha tech. Fani ya mechanical engineering. Na mwaka huu naenda kuchukua jiwe.
Fanya application d.i.t, a.t.c na mist am sure utapata chance tena direct entry kwa hayo matokeo yako.
Jaman na mm nimeapply dit civil ila mbona wa2 nyumban wanasema watu wa diploma kuanzia ss wanakuw hawapew mkop ispokuw dipl ya udaktar na ualm,yan naona wananchangny kwa kwel
Direct entry ni kwmba hautaenda kufanya mtihani wa kujiunga na pia utaweza pata nafasi ya government sponsorship.