Redpanther
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 3,049
- 4,301
Sio mtandaoni, hakuna mwanamke au mwanaume wa mtandaoni. Hao ni watu halisi wameficha upuuzi wao kwenye simu. Kimsingi hao unaowaona huko ndio hao hao unakutana nao msikitini na makanisaniunawazungumzia wadada wa mtandaoni ambao wengine madume tena hata hapa jf wamejaa tele!?
Bro kila mwanamke ana wanaume.Kwema Wataalam !
Ndio linapokuja swali... Hivi mnaosema unawekeza kwa mwanamke una moyo imara vya kutosha kihimiri tukio atakalokutandika nao. Hapo chini nimeweka tu baadhi ya Comments za wadada asee ni balaa.
Ushauri kwa wanaume wenzangu, Kama unataka kuwekeza na kuweka akili yako kwa mwanamke basi hakikisha huyo Mwanamke ni Mwanao au dada yako au basi Mama yako. Watu siku hizi ku cheat wameiona kama fashion. Mnaowekeza kwa wake zenu endeleeni, Nipo hapa kuwacheka mkiugulia matukio.
Kwan hawa wa mtandaoni, si ndo wa uraiani au?unawazungumzia wadada wa mtandaoni ambao wengine madume tena hata hapa jf wamejaa tele!?
dume la mtaani linabaki kuwa dume ila huku mtandaoni dume kujifanya mainda/ashura ni kawaida sana, hivyo unaweza kuona tofauti.Kwan hawa wa mtandaoni, si ndo wa uraiani au?
Aaaah kumbe?! Bas sawaa.dume la mtaani linabaki kuwa dume ila huku mtandaoni dume kujifanya mainda/ashura ni kawaida sana, hivyo unaweza kuona tofauti.
Nenda ukaangalie royalty test huko Tiktok. Women are very disappointing, sincerely mimi nimeoa ila naona kabisa nini kitakuja kufuata. Watakuambia familia this familia that...Bro acha ufala ukihisi hizi stori ya kubumba. Women are devil's agents working for serpentine.Mtoa mada haupo sirious au kwasababu hujaoa? Mbona hakuna jipya kwenye hizo comments, watu wa Dar mnaogopa sana maisha; tokeni huko Dar mrudi mikoani.
Ni kweli mzee! Kwanini mtu alikubali kuolewa au Kuoa kama kucheat unaona ni jambo la kawaida. Kwanini hukubakia single ? Wengine wapo kwenye ndoa ..2 or 3 decades unaona ni heri uwe na side man au side woman.Bro kila mwanamke ana wanaume.
Amekubali kuolewa na wewe kwa sababu umechukua hatua kuliko wenzio