Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Mkuu ww ni kiazi fulani, ndio maana unatapika propaganda mfu ulizozisikia toka kwa wahuni wenzako. Ukitaka kujua ww ni kiazi na huna lolote ujualo, angalia bandiko lako, umeandika bila kuweka koma wala nukta!
Naona ulitegemea kuwa first lady ila ni ndoto za mchana
 
Naona ulitegemea kuwa first lady ila ni ndoto za mchana

Nasema hivi, ili uweze kujadiliana na wanaume, rudi shule ukajifunze kanuni za uandishi kwanza. Uzuri sasa hivi elimu ni bure, hivyo hamna kisingizio.
 
Amka ndotoni Mkuu
Jana vyombo vya duniani vimemuingiza Rais Magufuli katika orodha ya Ma Rais kumi bora duniani wanaojenga uchumi na maendeleo kwenye Nchi zao

Membe anawafaa Chadema kwakuwa wanakumbatia mafisadi
 

Attachments

  • ccm.jpg
    105.2 KB · Views: 1
Sasa hivi washaaanza kampeini tangu Lissu atesti mitambo
Lisu atabaki kuwa mzalendo hata kama hatakumbukwa naamini Mungu aliyemponya katika janga la risasi atamshindia yaliyo mema
 
Usiyempenda kaja!

Mtakoma maccm mwaka huu. Jaribio la kumuua lilifeli na hata jaribio la kumzuia asigombee urais litafeli.

Jamaa atakuja kuchomoa betri,pombe mwaa!
 
Hivi Lissu ndo huwa anatuambia kuwa tulikosea kuchagua?
 
Atakumbukwa sana na anaendelea kukumbukwa
Lisu atabaki kuwa mzalendo hata kama hatakumbukwa naamini Mungu aliyemponya katika janga la risasi atamshindia yaliyo mema
 
Alimdhihakije? Alimkejelije? Ungeeleza hayo ili nasisi ambao hatukuwepo tujue halafu tupime na kuchuja. Vinginevyo hizo ni ndoto kama ndoto zingine. Lisu hana hizo sifa unazotaka kutuaminisha Lisu ndiye mkombozi wa kweli katika hii nchi na ndo maana mungu hakuruhusu afe licha ya risasi zote zile.
 
Mwancccm anaweza kuwa m shauri wa Chama CDM? Kwa mapenzi yapi?mtoa mada anaeza kuwa kalewa Ulanzi!!
 
Kinana nape, makamba ngereja walimdhihaki JPM walimuita "mshamba"
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…