Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Mkuu mbunge wa Chadema alisema lissu kupigwa risasi ilikuwa mpango wa chama Kwasababu alitaka kujijenga yeye Ndio maana majasusi ya Chadema yakataka kumpoteza Hujiulizi Kwanini walimtorosha dereva wa lissu ?
Usiyempenda kaja!

Mtakoma maccm mwaka huu. Jaribio la kumuua lilifeli na hata jaribio la kumzuia asigombee urais litafeli.

Jamaa atakuja kuchomoa betri,pombe mwaa!
 
Watumishi wa umma wamepigika miaka 5 tunataka kusikiliza hoja na siyo uongo
 
Mungu hajaruhusu afe ili ashuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli vinginevyo lissu hana lolote ni wale wale tu
 
Mi nawacheki tu sijui hii nchi mtaishika lini.sioni mlichonacho cha kuwafanya mshike nchi kuiongoza.bora na ccm.
Hivi hofu juu ya Lissu ni ipi mpaka mnahangaika naye kiasi hiki? Mnadhani mnamchafua kumbe ndio kwanza mnamjenga na kumtangaza zaidi

Jr[emoji769]
 
Atakumbukwa na wanywa viroba tu

Mtu anayewatetea Mabeberu akumbukwe na nani?
Lisu atabaki kuwa mzalendo hata kama hatakumbukwa naamini Mungu aliyemponya katika janga la risasi atamshindia yaliyo mema
 
Mods sasa muweke vigezo maalumu kwa mtu yeyote kuanzisha uzi. Kigezo kikuu ni utimamu wa akili.
Aidha watu waambatanishe vyeti vya daktari au wafanyiwe deep questionnaire
 
Rais Magufuli atashinda kwa 98% bila hata kupiga kampeni anakubalika sana na anapendwa sana na Watanzania
 
Mkuu huyo mropkaji aliyeko ubeligiji hana madhara yeyote
Atapigwa tatu bila asubuhi
yaani ma-CCM ni vilaza na viazi kweli kweli, upepo wa Lissu unawatesa kweli kweli, na hapo bado hajachukua hata hiyo fomu ya ugombea lakini tayri mmeisha anza kuweweseka
 
Huyo jamaa atakuwa na laana bila shaka
 
Dawa pekee ni kuwapiga chini hao wanao endelea kuwanufaisha makada wao wakati sisi tunateseka
Watumishi wa umma wamepigika miaka 5 tunataka kusikiliza hoja na siyo uongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…