Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Mkuu mbunge wa Chadema alisema lissu kupigwa risasi ilikuwa mpango wa chama Kwasababu alitaka kujijenga yeye Ndio maana majasusi ya Chadema yakataka kumpoteza Hujiulizi Kwanini walimtorosha dereva wa lissu ?
Usiyempenda kaja!

Mtakoma maccm mwaka huu. Jaribio la kumuua lilifeli na hata jaribio la kumzuia asigombee urais litafeli.

Jamaa atakuja kuchomoa betri,pombe mwaa!
 
Watumishi wa umma wamepigika miaka 5 tunataka kusikiliza hoja na siyo uongo
 
Mungu hajaruhusu afe ili ashuhudie maendeleo yanayoletwa na Rais Magufuli vinginevyo lissu hana lolote ni wale wale tu
Alimdhihakije? Alimkejelije? Ungeeleza hayo ili nasisi ambao hatukuwepo tujue halafu tupime na kuchuja. Vinginevyo hizo ni ndoto kama ndoto zingine. Lisu hana hizo sifa unazotaka kutuaminisha Lisu ndiye mkombozi wa kweli katika hii nchi na ndo maana mungu hakuruhusu afe licha ya risasi zote zile.
 
Mi nawacheki tu sijui hii nchi mtaishika lini.sioni mlichonacho cha kuwafanya mshike nchi kuiongoza.bora na ccm.
Hivi hofu juu ya Lissu ni ipi mpaka mnahangaika naye kiasi hiki? Mnadhani mnamchafua kumbe ndio kwanza mnamjenga na kumtangaza zaidi

Jr[emoji769]
 
Atakumbukwa na wanywa viroba tu

Mtu anayewatetea Mabeberu akumbukwe na nani?
Lisu atabaki kuwa mzalendo hata kama hatakumbukwa naamini Mungu aliyemponya katika janga la risasi atamshindia yaliyo mema
 
Mods sasa muweke vigezo maalumu kwa mtu yeyote kuanzisha uzi. Kigezo kikuu ni utimamu wa akili.
Aidha watu waambatanishe vyeti vya daktari au wafanyiwe deep questionnaire
 
Rais Magufuli atashinda kwa 98% bila hata kupiga kampeni anakubalika sana na anapendwa sana na Watanzania
Wewe unawasemea kama nani tena kwa ulivyo kwenye orodha ya wana ccm wanaopata riziki yao kwa kuandika upupu mitandaoni huyo mnayemkataa ndio anafaa make ndio mnayemuogopa.

Nyie ni lini mtampata mgombea anayeweza kushinda bila kusaidiwa na tume kuiba kura?? When.
 
Mkuu huyo mropkaji aliyeko ubeligiji hana madhara yeyote
Atapigwa tatu bila asubuhi
yaani ma-CCM ni vilaza na viazi kweli kweli, upepo wa Lissu unawatesa kweli kweli, na hapo bado hajachukua hata hiyo fomu ya ugombea lakini tayri mmeisha anza kuweweseka
 
Huyo jamaa atakuwa na laana bila shaka
Makosa makubwa ya Tundu Lissu ni kujifanya anajua kila kitu na kuwa yeye ndiyo sahihi hii ni sifa kubwa ya dikteta yeyote
Kukubali kumsafisha Lowassa anaonekana hana msimamo pia ana tamaa ya pesa
Kumkashifu na kumkejeli baba wa Taifa ambaye mazuri yake kwa taifa ni mengi kuliko mabaya yake
Kusapoti ndoa za jinsia moja ili mradi kuwafurahisha wazungu huku akijua pamoja na mambo hayo kufanyika si utamaduni wa watu wa watanzania wengi
Hivi vitu ndio silaha kubwa zitatumika kummaliza kwenye kampeni mambo mengine kama kukaidi kuhudhuria kesi zake kwa kisingizio cha usalama wake lakinii anaomba kugombea urais inaonyesha pamoja na yeye kuwa mwanashera aheshimu sheria
 
Ni ushauri tu kama mnataka chama kisiingie shimoni
1591625727978.png
 
Dawa pekee ni kuwapiga chini hao wanao endelea kuwanufaisha makada wao wakati sisi tunateseka
Watumishi wa umma wamepigika miaka 5 tunataka kusikiliza hoja na siyo uongo
 
Back
Top Bottom