Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM


we nani kwani??
 
Lazima tiwe na wagombea timamu na imara Mkuu bila kujali Chama, tunataka Rais Magufuli apate mpinzani imara na siyo uyo jamaa enu
Kwanini shauri nyingi jali mgombea wako na sera zenu. vimbelembele
 
Lazima tiwe na wagombea timamu na imara Mkuu bila kujali Chama, tunataka Rais Magufuli apate mpinzani imara na siyo uyo jamaa enu
Wewe mwenyewe hapo huna akili timamu. Na Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
 
Mbunge wa Chadema alisema lissu kupigwa risasi ilikuwa mpango wa chama Kwasababu alitaka kujijenga yeye Ndio maana majasusi ya Chadema yakataka kumpoteza

I'm innocent brother
Twambie wewe maana ulishiriki sana hilo zoezi pale dodoma
 
Ukisikia chama fulani kimemsimamisha msaliti wa taifa kugombea uraisi utajisikiaje? Waliompitisha itabidi wapelekwe "mirembe" kwa uchunguzi wa kina.
 
Membe ni mwanaccm acha kujitoa akili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…