Huu ni ushauri tu kwa faida ya Chadema lasivyo itasambaratika haitasimama tena
Kwanini shauri nyingi jali mgombea wako na sera zenu. vimbelembele
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ni ushauri tu kwa faida ya Chadema lasivyo itasambaratika haitasimama tena
CHADEMA kama mnataka msidumbukie shimo kaeni mbali na Lissu mtakiua chama akigombea Urais
Kwa sababu Lissu amekuwa ni mtu wa jazba asiyedhibiti emotional za ndani.
Ana chuki na vyama vingine vya kisiasa na kuvidharau mfano huita CCM"maccm" yaani yeye watu wa muhimu kwake ni CHADEMA tu wengine ni takataka huyu moja kwa moja anakosa sifa za kuwa kiongozi.
Alimdhalilisha Baba wa Taifa bungeni kwa kutoa maneno ya kejeli na kudhihaki hii haijawahi kutokea kwa kiongozi yeyote toka Nchi yetu ipate uhuru.
Wakati akiwa mbunge alkuwa akiwakataza Wananchi wasichangie michango ya maendeleo jimboni kwake hali iliyopelekea shughuli za maendeleo kusimama.
Wakati Rais Magufuli anatetea Watanzania juu ya madini yetu yaliyokuwa yakiporwa na Mabeberu tunajua Lissu alikuwa anawatetea watu gani.
Kazi kwenu CHADEMA muamue msimamishe Lissu mfe kabisa au muangalie watu wanaoweza kukibeba chama
Kwa maoni yangu watu kama Peter Msigwa, Lema, Nyalandu au Membe wanaweza kuonesha upinzani kwa mgombea wa CCM Rais Magufuli la sivyo mkimsimamisha Lissu hata diwani hamtapata.
Kwanini shauri nyingi jali mgombea wako na sera zenu. vimbelembele
Mabeberu yanatoa bure?
we nani kwani??
we nani kwani??
Wahamie Chadema waje kufanyaje?
Tuambie wewe basi kama wana wapeni bure au kwa masharti yapi
Wahamie Chadema waje kufanyaje?
Wewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Huko ccm wanafanya nini?
Wewe mwenyewe hapo huna akili timamu. Na Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.Lazima tiwe na wagombea timamu na imara Mkuu bila kujali Chama, tunataka Rais Magufuli apate mpinzani imara na siyo uyo jamaa enu
Wewe mwenyewe hapo huna akili timamu. Na Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
Wapo Sehemu salama mnataka mje muwaue kwa presha huko!
Kwahiyo mlivyo taka kumuua lissu hamkujua kuwa ni tendo baya?
Wewe mwenyewe hapo huna akili timamu. Na Membe ndiye mgombea wa kiti cha Urais kupitia CCM mwaka huu ni suala la muda tu.
Mkuu unajua ni kwanini Chadema walimficha dereva wa lissu ?
Twambie wewe maana ulishiriki sana hilo zoezi pale dodoma
Membe ni mwanaccm acha kujitoa akiliCHADEMA kama mnataka msidumbukie shimo kaeni mbali na Lissu mtakiua chama akigombea Urais