Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Baba wa Taifa ni Mungu?
 
Lazima tiwe na wagombea timamu na imara Mkuu bila kujali Chama, tunataka Rais Magufuli apate mpinzani imara na siyo uyo jamaa enu

Wewe wala hautakii mema nchi wala wapinzani ni mshabiki tu. Msije mkajifanya kama vile hatujui nia zenu hapa na maono yenu madogo. Wote tunawajua na watu wengi hapa wanajua mambo kuliko mnavyofikiri. Nimeshangazwa na ujasiri wetu wa kuona watu hapa wajinga!
 
Kamanda Kwahiyo unataka mropokaji ndio agombee kupitia Chadema ?
 
Kamanda Kwahiyo unataka mropokaji ndio agombee kupitia Chadema ?

Watanzania ndiyo wata amua wananchi wengi wanajua Lissu ni makamu wa mwenyekiti wa Chadema. Haya mambo ya uropokaji ni wewe. Ukiwa na kipaji cha kuongea wali maadui wasio na vipaji wanakuita mropokaji. Mropokaji ambaye anatafutwa na usalama mpaka kupigwa risasi!. Obama naye alikuwa mropokaji. Kama kweli ni mropokaji waweke debate hapo kila mmoja asema amefanya nini kwenye maisha yake na atafanya nini tuone mipango yao. Hapo tutajua nani ni mropokaji. Ukienda kuwasikiliza wanasiasa kwenye Youtube utajua nani mropokaji
 
Mbunge wa Chadema alisema lissu kupigwa risasi ilikuwa mpango wa chama Kwasababu alitaka kujijenga yeye Ndio maana majasusi ya Chadema yakataka kumpoteza Hujiulizi Kwanini walimtorosha dereva wa lissu ?

Mkuu lissu ni mtoto mwepesi sana satatu asubuhi Ccm inaibuka kidedea
 
Rais Magufuli atashinda kwa 98% bila hata kupiga kampeni anakubalika sana na anapendwa sana na Watanzania
Sio 98% tu, akipenda anaweza hata "Akapewa" 101%, lkn "What can a person achieve if he gains the whole world and eventually forfeit his soul"????
 
Yaani unataka tuwe wapumbavu kupokea ushauri wakipumbavu?
 

Mbunge ambaye ni waziri wa Afya sasa. Yaani unafikiri Watanzania wangapi wataamini huu upuuzi. Mbona Lissu mwenyewe ameshawataja. Mna Kazi mwaka huu. Kama ni rahisi kwanini mnaongelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…