Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Hivi hapa kamanda anatuma akili au matope?
UNATANGAZA NIA UKIWA NJE YA NCHI, UNAWAPONDA POLISI, UNAWAPONDA JESHI, UNAWAPONDA TISS, unamponda rais aliye madarakani kisha unasema HAURUDI MPAKA SERIKALI IKUHAKIKISHIE USALAMA WAKO...
Ni wazi jamaa ana msongo wa mawazo na kichwani kuna tatizo! I feel sorry for once a promising politician falling on a free fall helplessly! The worst thing is his mental state! I feel sorry for him....
 
Kuna suala Chadema ama chama cha Mbowe hawakifahamu au hawatilii maanani ni kuwa Lisu ndio mwanasiasa anechukiwa sana na watanzania kuliko kiongozi mwingine yeyote wa Chadema.
Mikoani hawaelewi sana kuumia kwa Lisu, wanachoelewa mno ni kuwa Lisu anapigania mali zetu za asili wazungu wazichue bure.

Na ndio maana amekimbilia kwao Ulaya wamempokea na kumuhifadhi. MSALITI WA TAIFA LA TANZANIA. Zile clip zake alizokuwa akizitoa wakati akiwa anaumwa Ulaya watakuwa wakizicheza kwenye TV Station zote na Radio zote. Kampeni ya kummaliza taratibu. Tusubiri tuone.

Bahati mbaya wanachama wa chama Cha Mbowe wanataka kuendesha siasa kwa kutegemea chuki ishinde . Ushindi wa siasa ni compromise politics. Magufuli amekuwa Raisi wa Tanzania kwa sababu tuu alikuwa compromise candidate.

Matokeo ya uchaguzi mkuu ujao wa 2020 ndio utasema kwa kelele ya juu Watanzania kitu gani wanata na kitu gani hawataki.
 
Kawe Alumni Siku Lissu akiwa Rais, basi Kingwendu atakuwa Waziri Mkuu na Kibajaji KUB!
 
Hizo ni kauli za kukata tamaa, Watanzania wengi sisi tunampenda Magufuli
Mtashuhudia October
Sio 98% tu, akipenda anaweza hata "Akapewa" 101%, lkn "What can a person achieve if he gains the whole world and eventually forfeit his soul"????
 
Nakushauri tu huyo jamaa enu atapigwa saa mbili asubuhi
Mbunge ambaye ni waziri wa Afya sasa. Yaani unafikiri Watanzania wangapi wataamini huu upuuzi. Mbona Lissu mwenyewe ameshawataja. Mna Kazi mwaka huu. Kama ni rahisi kwanini mnaongelea
 
Chadema wengi hawajitambui wanashindwa hata kushauri mzigo wao nini cha kuongea
 
Mkuu una akili sana umemchambua lissu kwa jicho la tatu, ni mtu mmoja asiyejitambua anaongea kufurahisha kundi dogo la wajinga wenzake
 
Huu ni ushauri tu kwa faida ya Chadema lasivyo itasambaratika haitasimama tena
Kwani ikisambaratika si ndio malengo yenu ya kuua upinzania yatakuwa yametimia? Naona unajitekenya na kucheka mwenyeweπŸ˜€ 🀣 πŸ˜€
 
Tundu Lisu angekuwa anatumia akili yake sawasawa angekuwa mbali sana kimaisha na kwa wananchi wa lililokuwa jimbo lake..

Ila kwa sasa hawezi kushindana na CCM akiwa nje ya nchi.

Na hata angekuwa yupo nchini bado asingweza kushindana na CCM.

NI dhahiri CDM wamebariki uamuzi huo wa Lisu wa kutangaza nia akiwa nje ya nchi, lakini je wanafuata katiba yao inasemaje?
 
Chuki ya wapi mzee wa Lumumba?, jibuni hoja zake...hatuwezi kuwa na mtu ana hodhi Bunge na Mahakama kama nyumba ndogo zake...hatuwezi!! Na huwezi kuongoza uchumi wa nchi kwa sera dhaifu zisizoeleweka!!

Eti nchi ya viwanda, labda viwanda ya kushona madela ya kampeni.
 
Hapana Mkuu tunataka mgombea atakayempa chagamoto mgombea wa Ccm Rais Magufuli Mkimsimamisha huyo mropkaji aliyeko ubeligiji mtapigwa asubuhi tu
Kwani ikisambaratika si ndio malengo yenu ya kuua upinzania yatakuwa yametimia? Naona unajitekenya na kucheka mwenyeweπŸ˜€ [emoji1787] πŸ˜€
 
Msikikilize vizuri lissu kwenye hotuba zake ni mtu mwenye chuki sana hastahili kuwa hata Mkuu wa wilaya ni mtu mbaya sana
 
Matatizo ya shule za kata sasa tunayaona!! Lissu rekebisha hii kitu..CCM ajenda yao ni kupumbaza watu wasijue kinachoendelea nchini!! Ni technic mbaya mno!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…