SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Membe tunamnyoosha saa nne asubuhi tuKwahiyo Rais ni membe au lissu [emoji28]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Membe tunamnyoosha saa nne asubuhi tuKwahiyo Rais ni membe au lissu [emoji28]
Mropokaji wote mnamju sema tu mnaogopa kutekwa.Kamanda Kwahiyo unataka mropokaji ndio agombee kupitia Chadema ?
Kawe Alumni Siku Lissu akiwa Rais, basi Kingwendu atakuwa Waziri Mkuu na Kibajaji KUB!CHADEMA kama mnataka msidumbukie shimo kaeni mbali na Lissu mtakiua chama akigombea Urais
Kwa sababu Lissu amekuwa ni mtu wa jazba asiyedhibiti emotional za ndani.
Ana chuki na vyama vingine vya kisiasa na kuvidharau mfano huita CCM"maccm" yaani yeye watu wa muhimu kwake ni CHADEMA tu wengine ni takataka huyu moja kwa moja anakosa sifa za kuwa kiongozi.
Alimdhalilisha Baba wa Taifa bungeni kwa kutoa maneno ya kejeli na kudhihaki hii haijawahi kutokea kwa kiongozi yeyote toka Nchi yetu ipate uhuru.
Wakati akiwa mbunge alkuwa akiwakataza Wananchi wasichangie michango ya maendeleo jimboni kwake hali iliyopelekea shughuli za maendeleo kusimama.
Wakati Rais Magufuli anatetea Watanzania juu ya madini yetu yaliyokuwa yakiporwa na Mabeberu tunajua Lissu alikuwa anawatetea watu gani.
Kazi kwenu CHADEMA muamue msimamishe Lissu mfe kabisa au muangalie watu wanaoweza kukibeba chama
Kwa maoni yangu watu kama Peter Msigwa, Lema, Nyalandu au Membe wanaweza kuonesha upinzani kwa mgombea wa CCM Rais Magufuli la sivyo mkimsimamisha Lissu hata diwani hamtapata.
Sio 98% tu, akipenda anaweza hata "Akapewa" 101%, lkn "What can a person achieve if he gains the whole world and eventually forfeit his soul"????
Yaani unataka tuwe wapumbavu kupokea ushauri wakipumbavu?
Mbunge ambaye ni waziri wa Afya sasa. Yaani unafikiri Watanzania wangapi wataamini huu upuuzi. Mbona Lissu mwenyewe ameshawataja. Mna Kazi mwaka huu. Kama ni rahisi kwanini mnaongelea
Membe tunamnyoosha saa nne asubuhi tu
Hivi hapa kamanda anatuma akili au matope?
UNATANGAZA NIA UKIWA NJE YA NCHI, UNAWAPONDA POLISI, UNAWAPONDA JESHI, UNAWAPONDA TISS, unamponda rais aliye madarakani kisha unasema HAURUDI MPAKA SERIKALI IKUHAKIKISHIE USALAMA WAKO...
Ni wazi jamaa ana msongo wa mawazo na kichwani kuna tatizo! I feel sorry for once a promising politician falling on a free fall helplessly! The worst thing is his mental state! I feel sorry for him....
Kuna suala Chadema ama chama cha Mbowe hawakifahamu au hawatilii maanani ni kuwa Lisu ndio mwanasiasa anechukiwa sana na watanzania kuliko kiongozi mwingine yeyote wa Chadema.
Mikoani hawaelewi sana kuumia kwa Lisu, wanachoelewa mno ni kuwa Lisu anapigania mali zetu za asili wazungu wazichue bure.
Na ndio maana amekimbilia kwao Ulaya wamempokea na kumuhifadhi. MSALITI WA TAIFA LA TANZANIA. Zile clip zake alizokuwa akizitoa wakati akiwa anaumwa Ulaya watakuwa wakizicheza kwenye TV Station zote na Radio zote. Kampeni ya kummaliza taratibu. Tusubiri tuone.
Bahati mbaya wanachama wa chama Cha Mbowe wanataka kuendesha siasa kwa kutegemea chuki ishinde . Ushindi wa siasa ni compromise politics. Magufuli amekuwa Raisi wa Tanzania kwa sababu tuu alikuwa compromise candidate.
Matokeo ya uchaguzi mkuu ujao wa 2020 ndio utasema kwa kelele ya juu Watanzania kitu gani wanata na kitu gani hawataki.
Kawe Alumni Siku Lissu akiwa Rais, basi Kingwendu atakuwa Waziri Mkuu na Kibajaji KUB!
Kwani ikisambaratika si ndio malengo yenu ya kuua upinzania yatakuwa yametimia? Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe😀 🤣 😀Huu ni ushauri tu kwa faida ya Chadema lasivyo itasambaratika haitasimama tena
Baada ya kukidumbukiza shimoni kwanguvu mpaka Sasa Bado hamuamini mmekimaliza mpaka mnashauri kisiingie shimoni kweli chadema sikio la kufaNi ushauri tu kama mnataka chama kisiingie shimoni
Chuki ya wapi mzee wa Lumumba?, jibuni hoja zake...hatuwezi kuwa na mtu ana hodhi Bunge na Mahakama kama nyumba ndogo zake...hatuwezi!! Na huwezi kuongoza uchumi wa nchi kwa sera dhaifu zisizoeleweka!!CHADEMA kama mnataka msidumbukie shimo kaeni mbali na Lissu mtakiua chama akigombea Urais
Kwa sababu Lissu amekuwa ni mtu wa jazba asiyedhibiti emotional za ndani.
Ana chuki na vyama vingine vya kisiasa na kuvidharau mfano huita CCM"maccm" yaani yeye watu wa muhimu kwake ni CHADEMA tu wengine ni takataka huyu moja kwa moja anakosa sifa za kuwa kiongozi.
Alimdhalilisha Baba wa Taifa bungeni kwa kutoa maneno ya kejeli na kudhihaki hii haijawahi kutokea kwa kiongozi yeyote toka Nchi yetu ipate uhuru.
Wakati akiwa mbunge alkuwa akiwakataza Wananchi wasichangie michango ya maendeleo jimboni kwake hali iliyopelekea shughuli za maendeleo kusimama.
Wakati Rais Magufuli anatetea Watanzania juu ya madini yetu yaliyokuwa yakiporwa na Mabeberu tunajua Lissu alikuwa anawatetea watu gani.
Kazi kwenu CHADEMA muamue msimamishe Lissu mfe kabisa au muangalie watu wanaoweza kukibeba chama
Kwa maoni yangu watu kama Peter Msigwa, Lema, Nyalandu au Membe wanaweza kuonesha upinzani kwa mgombea wa CCM Rais Magufuli la sivyo mkimsimamisha Lissu hata diwani hamtapata.
Kwani ikisambaratika si ndio malengo yenu ya kuua upinzania yatakuwa yametimia? Naona unajitekenya na kucheka mwenyewe😀 [emoji1787] 😀
Chuki ya wapi mzee wa Lumumba?, jibuni hoja zake...hatuwezi kuwa na mtu ana hodhi Bunge na Mahakama kama nyumba ndogo zake...hatuwezi!! Na huwezi kuongoza uchumi wa nchi kwa sera dhaifu zisizoeleweka!!
Eti nchi ya viwanda, labda viwanda ya kushona madela ya kampeni.
Matatizo ya shule za kata sasa tunayaona!! Lissu rekebisha hii kitu..CCM ajenda yao ni kupumbaza watu wasijue kinachoendelea nchini!! Ni technic mbaya mno!!Tundu Lisu angekuwa anatumia akili yake sawasawa angekuwa mbali sana kimaisha na kwa wananchi wa lililokuwa jimbo lake..
Ila kwa sasa hawezi kushindana na CCM akiwa nje ya nchi.
Na hata angekuwa yupo nchini bado asingweza kushindana na CCM.
NI dhahiri CDM wamebariki uamuzi huo wa Lisu wa kutangaza nia akiwa nje ya nchi, lakini je wanafuata katiba yao inasemaje?