Uchaguzi 2020 Kwa hizi sababu Lissu anaweza kukosa sifa za kupeperusha bendera ya CHADEMA kwenye kumpa changamoto Mgombea wa CCM

Kifo cha yesu msalabani kilimaliza na kufuta yote, hakuna laana wala mikosi bali hali ya shida na nyakati za furuha pia tumaini
Ni ujinga kuishi kwenye laana, mikosi, uchawi, majini na ushirikina
Mlaumu nawewe uandamwe na laana na mikosi km huyo jamaa enu
 
Mnatia huruma wajameni
Huruma mnatia nyie,miaka mitano siasa mmefanya wenyewe tu,mna Serikali, mihimili yote ya dola mnayo, vyombo vyoooote vya dola mnavyo,na vyote hivyo mumevitumia kuihujumu Chadema,mumenunua madiwani na wabunge, lakini hadi sasa mumeshindwa kuiua Chadema. Watu wazito kabisaaaaa huko Lumumba hawalali wanaiwaza Chadema,katangaza nia Lissu wote mumepanic,hivi nani wa kutia huruma?
 
Mkuu huyo ropo ropo hana madhara
 
Mbona wapo viongozi wa upande wa pili waliowaita CDM Corona na wanaendelea kuongoza vilevile!
 
Hizo ni kauli za kukata tamaa, Watanzania wengi sisi tunampenda Magufuli
Mtashuhudia October
Kabla ya Saddam kuondolewa madarakani alishinda uchaguzi kwa 100%, nakumbuka sana hii.

Hivyo Magufuli "Kushinda" kwa 100% haitakuwa ajabu hata kidogo, duniani hakuna kigeni ni marudio tu. Ila leo akina Saddam hakuna hata anayewakumbuka na hiyo "100%" yake, watu wanafahamu ulikuwa ni uchizi tu.
 
Mbona jamaa yenu ya ubeligiji anamagundu
Kifo cha yesu msalabani kilimaliza na kufuta yote, hakuna laana wala mikosi bali hali ya shida na nyakati za furuha pia tumaini
Ni ujinga kuishi kwenye laana, mikosi, uchawi, majini na ushirikina
 
Mnatia huruma maskini mmemuacha jamaa enu wa ubeligiji anajiropokea tu
 
Usimfananishe Rais Magufuli na watu wa hovyo kama hao
 
Lissu hastahili hata kidogo kugombea Urais
 
Huyu mtu anatumika na watu wa nje kuharibu amani ya Nchi yetu
 
Naomba tume ya Uchaguzi imruhusu ogombee ili tumkate kwenye boksi la kura
 
Na ndio maana hata ccm yenyewe waliomo hawamo kwa mioyo yao yote. Kwasababu chama kinatawaliwa na wenye chama.
Najiuliza sana nguvu inayotumika kila tv kutangaza kazi za rais na miradi nini kipo behind the screen?

Ninachojua ni hiki, ukiwa unaeleza sana kila siku jambo lilelile watu watataka kusikia kitu kingine na hii itakushangaza maana binadamu hajawahi kamwe kupenda kutu kimoja.
Fikiria kila siku yanayotangazwa ni
Umeme unaowekwa
Barabara zinazojengwa
Reli
Hospital

Lakini hayo ni matokeo ya kile tunachochangia sio hisani.

Tunachotaka ni
Utawala wa sheria( mihimili kuwa huru)

Freedom of expression
Utawala wenye uhuru wa kweli wananchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…