Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
- Thread starter
- #421
Toka 2015
Duuuh utafiti ulifanyika lini mzee??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duuuh utafiti ulifanyika lini mzee??
Mlaumu nawewe uandamwe na laana na mikosi km huyo jamaa enu
Huruma mnatia nyie,miaka mitano siasa mmefanya wenyewe tu,mna Serikali, mihimili yote ya dola mnayo, vyombo vyoooote vya dola mnavyo,na vyote hivyo mumevitumia kuihujumu Chadema,mumenunua madiwani na wabunge, lakini hadi sasa mumeshindwa kuiua Chadema. Watu wazito kabisaaaaa huko Lumumba hawalali wanaiwaza Chadema,katangaza nia Lissu wote mumepanic,hivi nani wa kutia huruma?Mnatia huruma wajameni
Huruma mnatia nyie,miaka mitano siasa mmefanya wenyewe tu,mna Serikali, mihimili yote ya dola mnayo, vyombo vyoooote vya dola mnavyo,na vyote hivyo mumevitumia kuihujumu Chadema,mumenunua madiwani na wabunge, lakini hadi sasa mumeshindwa kuiua Chadema. Watu wazito kabisaaaaa huko Lumumba hawalali wanaiwaza Chadema,katangaza nia Lissu wote mumepanic,hivi nani wa kutia huruma?
Mbona wapo viongozi wa upande wa pili waliowaita CDM Corona na wanaendelea kuongoza vilevile!CHADEMA kama mnataka msidumbukie shimo kaeni mbali na Lissu mtakiua chama akigombea Urais
Kwa sababu Lissu amekuwa ni mtu wa jazba asiyedhibiti emotional za ndani.
Ana chuki na vyama vingine vya kisiasa na kuvidharau mfano huita CCM"maccm" yaani yeye watu wa muhimu kwake ni CHADEMA tu wengine ni takataka huyu moja kwa moja anakosa sifa za kuwa kiongozi.
Alimdhalilisha Baba wa Taifa bungeni kwa kutoa maneno ya kejeli na kudhihaki hii haijawahi kutokea kwa kiongozi yeyote toka Nchi yetu ipate uhuru.
Wakati akiwa mbunge alkuwa akiwakataza Wananchi wasichangie michango ya maendeleo jimboni kwake hali iliyopelekea shughuli za maendeleo kusimama.
Wakati Rais Magufuli anatetea Watanzania juu ya madini yetu yaliyokuwa yakiporwa na Mabeberu tunajua Lissu alikuwa anawatetea watu gani.
Kazi kwenu CHADEMA muamue msimamishe Lissu mfe kabisa au muangalie watu wanaoweza kukibeba chama
Kwa maoni yangu watu kama Peter Msigwa, Lema, Nyalandu au Membe wanaweza kuonesha upinzani kwa mgombea wa CCM Rais Magufuli la sivyo mkimsimamisha Lissu hata diwani hamtapata.
Kabla ya Saddam kuondolewa madarakani alishinda uchaguzi kwa 100%, nakumbuka sana hii.Hizo ni kauli za kukata tamaa, Watanzania wengi sisi tunampenda Magufuli
Mtashuhudia October
Kifo cha yesu msalabani kilimaliza na kufuta yote, hakuna laana wala mikosi bali hali ya shida na nyakati za furuha pia tumaini
Ni ujinga kuishi kwenye laana, mikosi, uchawi, majini na ushirikina
Huruma mnatia nyie,miaka mitano siasa mmefanya wenyewe tu,mna Serikali, mihimili yote ya dola mnayo, vyombo vyoooote vya dola mnavyo,na vyote hivyo mumevitumia kuihujumu Chadema,mumenunua madiwani na wabunge, lakini hadi sasa mumeshindwa kuiua Chadema. Watu wazito kabisaaaaa huko Lumumba hawalali wanaiwaza Chadema,katangaza nia Lissu wote mumepanic,hivi nani wa kutia huruma?
Ushauri wako peleka Lumumba
Mbona wapo viongozi wa upande wa pili waliowaita CDM Corona na wanaendelea kuongoza vilevile!
Kaondoa kiduku
Kabla ya Saddam kuondolewa madarakani alishinda uchaguzi kwa 100%, nakumbuka sana hii.
Hivyo Magufuli "Kushinda" kwa 100% haitakuwa ajabu hata kidogo, duniani hakuna kigeni ni marudio tu. Ila leo akina Saddam hakuna hata anayewakumbuka na hiyo "100%" yake, watu wanafahamu ulikuwa ni uchizi tu.