Kwa hizi sera za wakurya basi ndio wanaweza kuwa kabila ambalo ni more favourable kwa ajili ya single moms.

Kwa hizi sera za wakurya basi ndio wanaweza kuwa kabila ambalo ni more favourable kwa ajili ya single moms.

Eli Cohen

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2023
Posts
11,191
Reaction score
35,870
Unaambiwa mkurya akitaka kuoa hajali wewe una watoto atakuchukua tu na pia atahakikisha hao watoto wako wanakuwa wa kwake kama yeye ndio aliotwaa na hadi kuwapatia majina ya ukoo wake na na hadi mali za nyumbani wanaweza kurithi, sasa aanze kusikia unamuongelea baba yao sijui nani au baba yao mzazi analeta leta mdomo😂

Ishu ni ni kwamba mkurya akikuoa, wewe na ulivyo navyo unakuwa wa ukoo wake chini yake.

SINGLE MOMS anzisheni hashtag ya #TwenzetuMara. 😂
 
Back
Top Bottom