Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umeandika kama upo kwenye vibanda vya kuuzia wanzukiWalimuweka tundu lissu ili kumsaidia kutoa dukuduku la moyoni..alidhani ni zile kampeni za zamani zinazoambatana na matusi na fedheha na uongo mwingi wa kutunga kama ambavyo mdee aliwahi kumuambia mbatia shoga kwenye mkutano wa kampeni kawe miaka ile.
Kajikuta wamedhibitiwa na tume juu ya hayo masuala ya kipuuzi..sasa kajiona kama hana kazi vile..anabaki kusema maendeleo sio vitu halafu hapo hapo anaahidi kujenga majengo na masoko ya machinga na mama ntilie..nani kamuambia machinga wanataka kujifungia kwenye majengo?
Hali tete huko lumumba[emoji3][emoji3][emoji3] mbona kinyonge mno jingalao
Unakazi ngumu Jingalao.
Hawa uvccm hiyo ndiyo kazi wanayo iwezaLabda kwa hoja hizo ktk picha,ya Mtoto Jinga, vinginevyo CCM ni mzigo wa misumari kwa sasa. View attachment 1563882
Sent from my TECNO W4 using JamiiForums mobile app
Mshavurugwa hasa baada ya kutimuliwa kwa aibu musomasiku hizi bavicha wamebaki kutoa sana maelekezo na ushauri kwa mgombea wao,wengine wakilaumu kitengo cha habari wakitaka kivunjwe
ukiona hivyo ujue upepo sio mzuri kwao
Hao ni mashetani wakubwaAstaghafilurah!!!!
Hawa si ni watoto? Wanafundishwa ushetani wadogo namna hiyo? Kweli chama hiki ni cha kishetani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM katika mwaka huu wa uchaguzi imewashinda Chadema katika nyanja zote.
Mitandao ya kijamii
Hapa utaona ndani ya Jf Pro Chadema wamebakia na matusi na propaganda za picha za zamani. Facebook na Istagram pako kimya, WhatsApp hata hawaongei.
MMS -Hakuna zile mbwembwe za 'Chagua Lowassa' kama ilivyokuwa 2015