Uchaguzi 2020 Kwa hoja, CCM imeishinda CHADEMA kwenye mitandao

Uchaguzi 2020 Kwa hoja, CCM imeishinda CHADEMA kwenye mitandao

Walimuweka tundu lissu ili kumsaidia kutoa dukuduku la moyoni..alidhani ni zile kampeni za zamani zinazoambatana na matusi na fedheha na uongo mwingi wa kutunga kama ambavyo mdee aliwahi kumuambia mbatia shoga kwenye mkutano wa kampeni kawe miaka ile.

Kajikuta wamedhibitiwa na tume juu ya hayo masuala ya kipuuzi..sasa kajiona kama hana kazi vile..anabaki kusema maendeleo sio vitu halafu hapo hapo anaahidi kujenga majengo na masoko ya machinga na mama ntilie..nani kamuambia machinga wanataka kujifungia kwenye majengo?
Umeandika kama upo kwenye vibanda vya kuuzia wanzuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajira milioni nane, yani Magufuli anaahidi kuajiri hata watoto na wazee akipewa tena ridhaa, miaka hii mitano iliyopita anadai ameajiri milioni sita wakiwemo bodaboda wote hadi wasio na ajira anadai kawaajiri. Kampeni ni noma sana.
 
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM katika mwaka huu wa uchaguzi imewashinda Chadema katika nyanja zote.

Mitandao ya kijamii
Hapa utaona ndani ya Jf Pro Chadema wamebakia na matusi na propaganda za picha za zamani. Facebook na Istagram pako kimya, WhatsApp hata hawaongei.

MMS -Hakuna zile mbwembwe za 'Chagua Lowassa' kama ilivyokuwa 2015

Wewe kweli bwege lao. Unataka mbwebwe za chagua Lowassa? Inanishitaki dunia ipi?

Safari hii hapendwi mtu.

Mwambieni jiwe safari hii ni haki, uhuru na maendeleo.

Bila hivyo pangeni naye kukutana Chatto machungani.
 
Back
Top Bottom