Uchaguzi 2020 Kwa hoja, CCM imeishinda CHADEMA kwenye mitandao

Umeandika kama upo kwenye vibanda vya kuuzia wanzuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ajira milioni nane, yani Magufuli anaahidi kuajiri hata watoto na wazee akipewa tena ridhaa, miaka hii mitano iliyopita anadai ameajiri milioni sita wakiwemo bodaboda wote hadi wasio na ajira anadai kawaajiri. Kampeni ni noma sana.
 

Wewe kweli bwege lao. Unataka mbwebwe za chagua Lowassa? Inanishitaki dunia ipi?

Safari hii hapendwi mtu.

Mwambieni jiwe safari hii ni haki, uhuru na maendeleo.

Bila hivyo pangeni naye kukutana Chatto machungani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…