Uchaguzi 2020 Kwa hoja, CCM imeishinda CHADEMA kwenye mitandao

Uchaguzi 2020 Kwa hoja, CCM imeishinda CHADEMA kwenye mitandao

jingalao

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
36,197
Reaction score
29,717
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM katika mwaka huu wa uchaguzi imewashinda Chadema katika nyanja zote.

Mitandao ya kijamii

Hapa utaona ndani ya Jf Pro Chadema wamebakia na matusi na propaganda za picha za zamani. Facebook na Istagram pako kimya, WhatsApp hata hawaongei.

MMS -Hakuna zile mbwembwe za 'Chagua Lowassa' kama ilivyokuwa 2015
 
Walimuweka tundu lissu ili kumsaidia kutoa dukuduku la moyoni..alidhani ni zile kampeni za zamani zinazoambatana na matusi na fedheha na uongo mwingi wa kutunga kama ambavyo mdee aliwahi kumuambia mbatia shoga kwenye mkutano wa kampeni kawe miaka ile.

Kajikuta wamedhibitiwa na tume juu ya hayo masuala ya kipuuzi..sasa kajiona kama hana kazi vile..anabaki kusema maendeleo sio vitu halafu hapo hapo anaahidi kujenga majengo na masoko ya machinga na mama ntilie..nani kamuambia machinga wanataka kujifungia kwenye majengo?
 
Ni ukweli usiopingika kuwa CCM katika mwaka huu wa uchaguzi imewashinda Chadema katika nyanja zote.

Mitandao ya kijamii
Hapa utaona ndani ya Jf Pro Chadema wamebakia na matusi na propaganda za picha za zamani. Facebook na Istagram pako kimya, WhatsApp hata hawaongei.

MMS -Hakuna zile mbwembwe za 'Chagua Lowassa' kama ilivyokuwa 2015
Kwa huu upupu utapewa buku 7?
 
siku hizi bavicha wamebaki kutoa sana maelekezo na ushauri kwa mgombea wao,wengine wakilaumu kitengo cha habari wakitaka kivunjwe
ukiona hivyo ujue upepo sio mzuri kwao
 
Na jana wamejificha hawajulikani walipo, nadhani bando limekata,

Wamebaki kerere za kusiko julikana
 
Back
Top Bottom