Dumas the terrible
JF-Expert Member
- Jan 20, 2021
- 4,779
- 9,999
Walokole bwana alitukanwa Mungu mnaumia nyie kwahiyo nyie ndie wasemaji wake?Mwambie mkuu ili ajishushe na kuomba msamaha kabsa kwakuwa Mungu huona hadi ya moyoni aweza kusamehe.
Mlokole on the move yaani atukanwe Mungu uumie wewe huoni Kama kituko hicho?Ama kweli bora Mungu sio binadamu. Ningekuchapa kofi moja hadi generation yako ya tisa msingekuja kuziona mvi wala sh 50 mkononi.
Tunza akiba ya maneno huwezi kabisa kumtukana Mungu hata uwe unajihisi we ni mjuaji kiasi gani
Mtu akienda kumtukana mzazi wako letβs say mama yako matusi ya nguoni utanyamaza?Mlokole on the move yaani atukanwe Mungu uumie wewe huoni Kama kituko hicho?
Mtukanwa kakaa kimya ila wewe uliyeona katukanwa unaumia saaaana au sio ?
anyway
Mungu sio wewe kilichohitajika ni huyo Mungu kutoa sababu ya kuwapa mateso miaka 40 sio kuja kuniadhibu Kama maoni yako hapo juu
Ewe mlokole usiye na akili ni nani kakupa mamlaka ya kuchukua hasira juu yangu kwa niaba ya Mungu?
Alamsiki!
Acha kuchukua nafasi ya Mungu huyo sio wa kufananishwa na mama yako ewe mlokole usiye na akili halafu kabla hujaniombea hizo rehema za kinafiki yeye alishanifanyia kabla hujaandika hapa,Mtu akienda kumtukana mzazi wako letβs say mama yako matusi ya nguoni utanyamaza?
Mi acha nikuombee rehema kwa Mungu. Yeye ndo atake hangaika na wewe
I hope the god you believe has sent you to ...., criticize God of Israel ,Kumekucha! kumekucha!
Hao jamaa na hekaya zao za Mungu wamewafanya mpaka African kua Brain washed hawaambiliki
Yaani Mungu wao El/YHW/JEHOVAH/Elohim
Ni Mungu mshenzi na mgomvi, katili,uncivilized,mwongo na mwenye ahadi hewa Kwa watu wake
Imagine aliwaahidi Babu zao kina Abraham Kwamba uzao wake utakua mwingi kama mchanga wa bahari[emoji16]
Akawaambia Tena Atawapa Kaanan iwe Mali Yao Kwa kupora na ubabe,
Aliwatoa misri utumwani et
anawapeleka nchi ya ahadi yenye Asali na maziwa maajabu akawatembeza jangwani miaka 40 hata hawafiki mpaka wakafa wote
Baada ya miaka 40 ndio wanaanza panga vita ya kupora ardhi ya watu yenye maziwa na asali Kwa kuua raia wote mpaka wanawake na watoto!
Alivyo juha Huyo Mungu wao badala Ile Miaka 40 awapeleke kusini mwa jangwa la Sahara kama huku East Afrika au Zimbabwe sehemu yenye maeneo makubwa na hakuna watu wanaishi akaanza akawapeleka kuvamia mashamba ya watu Kaanan
Stupid God!
Yaani natamani nikupe tusi moja takatifuπAcha kuchukua nafasi ya Mungu huyo sio wa kufananishwa na mama yako ewe mlokole usiye na akili halafu kabla hujaniombea hizo rehema za kinafiki yeye alishanifanyia kabla hujaandika hapa,
Narudia Tena usitake kujifanya unataka kuchukua nafasi ya kua msemaji wa Mungu nenda kasome baada ya Mfalme Daudi kupewa ufalme alitaka kujifanya anataka kumjengea Hekalu Mungu kwa style kama yako na hilo lilikua chukizo mbele za Mungu vipi mwenzangu na mimi kujifanya umeumia sana Mimi kufanya hivyo huoni Kama unahukumu?
Jitafakari Mungu anajitetea mwenyewe kwa namna ya ajabu na ishara za Upendo sio Kama ufanyavyo wewe hapa
Jitafakari!
Ifu yu worship Godi fromu Israeli bati yu a afrikani fromu Namtumbo or yu a mmatumbizi yu niidi salivasheni!I hope the god you believe has sent you to ...., criticize God of Israel ,
Please can you give us , some few details about your god?
Wenzako walitaka jaribu tu kunitukana walioga mvua ya kipondo una bahati Sana hujatukana ebooo!Yaani natamani nikupe tusi moja takatifuπ
Wewe tusingekua tunaongea mada kuhusu Muumba ningekuogesha matusi ambayo hujawahi kuyaskia. Ila kwakuwa umeniita mlokole acha nitembelee hiyo sakafu.
Ukinitag tena utajijibu mwenyewe naomba usinijaribu nimechoka kutubu.
Umempa jibu zuri. Mwache aongeze kiburi chake, Mungu akiamua kumshushia rungu ndipo atajua hajui, atatamani kufa na kifo kitamkimbia.Mtu akienda kumtukana mzazi wako letβs say mama yako matusi ya nguoni utanyamaza?
Mi acha nikuombee rehema kwa Mungu. Yeye ndo atake hangaika na wewe
Yani anadhani tunavomjibu kistaarabu tunamuogopa. Nnapobishania swala la Muumba wangu natanguliza hekima. Tumwachie aliemuumba apambane naeUmempa jibu zuri. Mwache aongeze kiburi chake, Mungu akiamua kumshushia rungu ndipo atajua hajui, atatamani kufa na kifo kitamkimbia.
Uko hai mpaka kwa matusi hayo Mungu sio binamu au shemeji utaona cha moto muda si mrefu tubuWeweweweee! Dumas!! Acha, Chunga kinywa chako, tubu haraka sana. Mungu hatukanwi, hata kama huamini kuwa ndiye but ukaamini hayo aliyatenda yeye then amini pia ukuu wake yakuwa ndiye alikuumba pia na pumzi yako imo mikononi mwake. Bora useme Mungu yupo, usimkute, kuliko kusema hayupo, ukamkuta.
Mungu hapangiwi, hajuti na hana hasara.
dini bn ni kama wehu flani hivMungu wa biblia,
Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima!
Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee angeweza kuwafikisha wana wa Abraham ktk nchi ya asali na maziwa ambayo ndo Israel!
Haikuishia hapo tu bali ikanadi taifa hili kuwa atakaelibariki nae atabarikiwa,vivyohivyo ambae ataridhihaki taifa hili nae atadhihakiwa!. (Sijaandika Kama ilivyoandikwa ila kwa ambao wameshasoma hicho kitabu watakuwa wameshanielewa).
Tukifatilia taifa hili ni moja ya taifa ambalo watu wake wameishi sana kwa upanga(Vita),toka agano la kale mpaka sasa Mambo ni moto.
Moja Kati ya sifa ya Mungu wa taifa hili tumekuwa tukihubiriwa kuwa ni Mungu wa amani lakini taifa lake aliloliteua na kulinadi mbele ya mataifa mengine limekua ni taifa lililotapakaa sana damu!
Je, hiyo ndio amani iliyomjaa Mungu wa taifa hilo?
Mpaka sasa jilani yao palestina amekuwa ni jilani ambae amekuwa akipokea kichapo kikali toka ktk taifa hili teule!
Je,hiyo ndo nchi ya asali na maziwa waliyoahidiwa?
Hata wao wenyewe wamekuwa sio wamoja ktk imani kwani wapo wanaoamini agano la kale nakuacha hili jipya!, namaanisha wanaamini yesu bado hajaja Kama ilivyotabiliwa agano la kale na wanamsubiri bado na pia wapo wanaoamini kuwa aliekuja na kuteswa ndie yesu it means yule alietabiliwa ktk agano la kale ameshakuja na ameshasurubiwa,Kama ilivyoandikwa agano jipya.
Sasa kwa mikanganyiko hii ya wana wa taifa hili teule ambao mikono yao imetapakaa damu kwa kuvunja amri ya Mungu wao wenyewe ya "USIUE" je,ipo haja ya kuamini kuwa hili ni taifa teule au tujue tumepigwa na kitu kizito kichwani..?
Kwani Mungu alikosa njia nyengine ya kuweza kuwapitisha watu wake vizuri nakwaamani pasipo kuwamwagisha damu..?
Hawaoni kuwa wanatupa mkanganyiko hasa wao na Mungu wao kwa kuvunja sheria walizoweka...??
Laana uliyonayo haikuanza kwako tu, itakuwa ilianza kwa babu zako na inaendelea kuwatafunana nyie ktk huo ukoo!Alivyo juha Huyo Mungu wao badala Ile Miaka 40 awapeleke kusini mwa jangwa la Sahara kama huku East Afrika au Zimbabwe sehemu yenye maeneo makubwa na hakuna watu wanaishi akaanza akawapeleka kuvamia mashamba ya watu Kaanan
Stupid God!
Vile vile usisahau kuna imani inasema taifa la wayahudi ni taifa la laana na ni makafir na nguruwe watu!!!!Sasa hata mimi nashindwa kuelewa kua kwa mujibu wa biblia wamebarikiwa ila kwa mujibu wa hiyo imani nyingine ni makafir na nguruwe watu!!!!!Unaweza kunisaidia elimu kidogo kaka hapaMungu wa biblia,
Imeandikwa katika biblia kuwa Mungu ndie alieliteua taifa la Israel kuwa taifa lake,ambalo kupitia taifa hilo neno lake lingesambazwa dunia nzima!
Katika kitabu hicho kimenadi sana kuwa Mungu kutoka taifa hilo ndie Mungu wa kweli na uzima pia kikanadi kuwa Mungu ndie pekee angeweza kuwafikisha wana wa Abraham ktk nchi ya asali na maziwa ambayo ndo Israel!
Haikuishia hapo tu bali ikanadi taifa hili kuwa atakaelibariki nae atabarikiwa,vivyohivyo ambae ataridhihaki taifa hili nae atadhihakiwa!. (Sijaandika Kama ilivyoandikwa ila kwa ambao wameshasoma hicho kitabu watakuwa wameshanielewa).
Tukifatilia taifa hili ni moja ya taifa ambalo watu wake wameishi sana kwa upanga(Vita),toka agano la kale mpaka sasa Mambo ni moto.
Moja Kati ya sifa ya Mungu wa taifa hili tumekuwa tukihubiriwa kuwa ni Mungu wa amani lakini taifa lake aliloliteua na kulinadi mbele ya mataifa mengine limekua ni taifa lililotapakaa sana damu!
Je, hiyo ndio amani iliyomjaa Mungu wa taifa hilo?
Mpaka sasa jilani yao palestina amekuwa ni jilani ambae amekuwa akipokea kichapo kikali toka ktk taifa hili teule!
Je,hiyo ndo nchi ya asali na maziwa waliyoahidiwa?
Hata wao wenyewe wamekuwa sio wamoja ktk imani kwani wapo wanaoamini agano la kale nakuacha hili jipya!, namaanisha wanaamini yesu bado hajaja Kama ilivyotabiliwa agano la kale na wanamsubiri bado na pia wapo wanaoamini kuwa aliekuja na kuteswa ndie yesu it means yule alietabiliwa ktk agano la kale ameshakuja na ameshasurubiwa,Kama ilivyoandikwa agano jipya.
Sasa kwa mikanganyiko hii ya wana wa taifa hili teule ambao mikono yao imetapakaa damu kwa kuvunja amri ya Mungu wao wenyewe ya "USIUE" je,ipo haja ya kuamini kuwa hili ni taifa teule au tujue tumepigwa na kitu kizito kichwani..?
Kwani Mungu alikosa njia nyengine ya kuweza kuwapitisha watu wake vizuri nakwaamani pasipo kuwamwagisha damu..?
Hawaoni kuwa wanatupa mkanganyiko hasa wao na Mungu wao kwa kuvunja sheria walizoweka...??
Upo sahii Mungu wa wayahudi YEHOVAH is stupid!!The same to mungu wa waarabu ALLAH he is more stupid to let Jewish create Israel kingdom and state up thereKumekucha! kumekucha!
Hao jamaa na hekaya zao za Mungu wamewafanya mpaka African kua Brain washed hawaambiliki
Yaani Mungu wao El/YHW/JEHOVAH/Elohim
Ni Mungu mshenzi na mgomvi, katili,uncivilized,mwongo na mwenye ahadi hewa Kwa watu wake
Imagine aliwaahidi Babu zao kina Abraham Kwamba uzao wake utakua mwingi kama mchanga wa bahariπ
Akawaambia Tena Atawapa Kaanan iwe Mali Yao Kwa kupora na ubabe,
Aliwatoa misri utumwani et
anawapeleka nchi ya ahadi yenye Asali na maziwa maajabu akawatembeza jangwani miaka 40 hata hawafiki mpaka wakafa wote
Baada ya miaka 40 ndio wanaanza panga vita ya kupora ardhi ya watu yenye maziwa na asali Kwa kuua raia wote mpaka wanawake na watoto!
Alivyo juha Huyo Mungu wao badala Ile Miaka 40 awapeleke kusini mwa jangwa la Sahara kama huku East Afrika au Zimbabwe sehemu yenye maeneo makubwa na hakuna watu wanaishi akaanza akawapeleka kuvamia mashamba ya watu Kaanan
Stupid God!
Kaka kwa hiyo wayahudi wapo saudia wale akina sharoni ni wagiriki na wapemba kaka?????Tupe elimu kakaKasome vizuri Kumbukumbu la Torati wanaelezewa vizuri na tabia zao. Tamaduni na mila zao.....wale wa pale hawafananii hata kitu kimoja. Hivi mzungu anaweza kuwa Mtumwa for 40 years kwenye joto la Egypt!?????
And jiulize swali lingine why South Africa, Australia na Israel ndio nchi zinaongoza kwa kansa ya Ngozi??? from sunrays.
Wayahudi sio wakrsto ila huwezi kuutenganisha ukrsto na uyahudi!!!Foundation za ukristo zinatokana na wayahudi waebrania!!!Tupe elimu kaka???Tena ni Wayahudi wachache sana wanaoamini in Jesus! Wakristo wengi Israel ni Waarabu na wengine wageni! Wayahudi kama Wayahudi, ni wachache sana!
Hapana mtume hakuua alikua mtakatifu anakaa ndani na wake zake tu!!!Yesu na makafir ndio walikua wanaua!!!!Mtume alikua kamanda wa jeshi aliongoza mapigano na aliuwa watu weng sana ila why mnamuamini na kumtukuza wakat alikua muuwaji
Tusomee na utuwekee na ile aya ya mtume alipobanwa pangoni mpaka akashindwa kupumua kaka!!!!Tupe elimu kakaUfunuo 3:9View attachment 2106109