Elius W Ndabila
JF-Expert Member
- Jul 17, 2019
- 339
- 678
Issue ya Kigwangalla kushambuliwa na wananchi siyo kwa dhana kama ulivyoieleza, ameshambuliwa kwani alijitokeza hadharani/mitandaoni kuunga mkono kujifukiza, tena aliandika kwa kina kwanini hakubali chanzo na alisema wazi. Hivyo kwa upande wa Rais Samia ni case nyingine, licha ya kuonyesha msimamo wake juu ya gonjwa hili , yeye HAKUWAHI AIDHA KUANDIKA/KUZUNGUMZA SEHEMU YOYOTE ILE JUU YA KUJIFUKIZA,!KIGWANGALA alitoa hoja ya namna anavyodhani tunaweza kukabiliana na corona kwa sasa. Kwenye hoja zake alisema haoni hata umhimu wa tanuru la kujivukiza pale hospitali ya Mhimbili. Wakati wa uchangiaji wa hoja ya Mhe Kigwangala wengi walimshambulia personal na kusema kuwa kwa nini hakushauri kwenye baraza? Lakini ukweli kuwa mabaraza yetu hoja zinaenda kwa majorities, ukishauri jambo lisipoungwa na wengi linakuwa limejifia na utalazimika kuwaunga wengi.
Sasa tukija kwenye hoja ya Mhe Rais ya leo juu ya Covid 19, kwanza amesema Tanzania siyo kisiwa. Amesema Kama duniani kote ripoti zinatolewa na kila siku Tanzania ni deshi haipendezi, lazima tujulikane tuko wapi. Akasisitiza kwa kusema ataunda timu ya Wataalamu ambao watafanya utafiti juu ya Covid 19 ili Kama Taifa tuangalie njia ya kwenda nayo.
Kwa statement hii ya Mhe Rais inaonyesha sasa ni wakati wa Tanzania kuungana rasimi na mapambano haya Kama ilivyo duniani kote au kuamua rasimi Kama Taifa kutumia njia zetu kukabiliana na janga hili. Matokeo ya tume ndiyo yatatoa dira ya taifa.
Lakini hata hivyo statement inaonyesha sasa rasimi corona ipo.
Kigwangala angesikilizwa badala ya kumshambulia. Kigwangala alitoa mawazo huru ambayo pengine kwenye baraza hayakusikilizwa akaona ayaseme sasa kwa kuwa habanwi na Uwaziri.
Labda Kigwangala alikuwa bogeyman alitangulizwa tu halafu leo ndo msumari ugongwe mi naona wafanye kazi mwendazake kisha enda kama wako sahihi kuliko yeye tutaona action speaks louder than wordna uongozi ni actionKIGWANGALA alitoa hoja ya namna anavyodhani tunaweza kukabiliana na corona kwa sasa. Kwenye hoja zake alisema haoni hata umhimu wa tanuru la kujivukiza pale hospitali ya Mhimbili. Wakati wa uchangiaji wa hoja ya Mhe Kigwangala wengi walimshambulia personal na kusema kuwa kwa nini hakushauri kwenye baraza? Lakini ukweli kuwa mabaraza yetu hoja zinaenda kwa majorities, ukishauri jambo lisipoungwa na wengi linakuwa limejifia na utalazimika kuwaunga wengi.
Sasa tukija kwenye hoja ya Mhe Rais ya leo juu ya Covid 19, kwanza amesema Tanzania siyo kisiwa. Amesema Kama duniani kote ripoti zinatolewa na kila siku Tanzania ni deshi haipendezi, lazima tujulikane tuko wapi. Akasisitiza kwa kusema ataunda timu ya Wataalamu ambao watafanya utafiti juu ya Covid 19 ili Kama Taifa tuangalie njia ya kwenda nayo.
Kwa statement hii ya Mhe Rais inaonyesha sasa ni wakati wa Tanzania kuungana rasimi na mapambano haya Kama ilivyo duniani kote au kuamua rasimi Kama Taifa kutumia njia zetu kukabiliana na janga hili. Matokeo ya tume ndiyo yatatoa dira ya taifa.
Lakini hata hivyo statement inaonyesha sasa rasimi corona ipo.
Kigwangala angesikilizwa badala ya kumshambulia. Kigwangala alitoa mawazo huru ambayo pengine kwenye baraza hayakusikilizwa akaona ayaseme sasa kwa kuwa habanwi na Uwaziri.
Kigwangalla ana hoja, ila ishu yake ni unafiki. Kwa nini hakuongea hili kama alivyofanyaga ndungulile enzi hizo. Inakuaje alisupport nyungu enzi hizo walati jpm yupo mara baada ya jpm kufariki anakana maneno yake ya zamani?.mama hajawahi toa mzimamo wake rasmi kuhusu covid-19 ila unaweza msoma kwa kumcheki, hana mpango na barakoa.... hoja yake mama ni Tz iwe na msimamo kwa jamii za kimataifa kama wanakubali au wanakataa ma sio kutokueleweka wako upande gani...KIGWANGALA alitoa hoja ya namna anavyodhani tunaweza kukabiliana na corona kwa sasa. Kwenye hoja zake alisema haoni hata umhimu wa tanuru la kujivukiza pale hospitali ya Mhimbili. Wakati wa uchangiaji wa hoja ya Mhe Kigwangala wengi walimshambulia personal na kusema kuwa kwa nini hakushauri kwenye baraza? Lakini ukweli kuwa mabaraza yetu hoja zinaenda kwa majorities, ukishauri jambo lisipoungwa na wengi linakuwa limejifia na utalazimika kuwaunga wengi.
Sasa tukija kwenye hoja ya Mhe Rais ya leo juu ya Covid 19, kwanza amesema Tanzania siyo kisiwa. Amesema Kama duniani kote ripoti zinatolewa na kila siku Tanzania ni deshi haipendezi, lazima tujulikane tuko wapi. Akasisitiza kwa kusema ataunda timu ya Wataalamu ambao watafanya utafiti juu ya Covid 19 ili Kama Taifa tuangalie njia ya kwenda nayo.
Kwa statement hii ya Mhe Rais inaonyesha sasa ni wakati wa Tanzania kuungana rasimi na mapambano haya Kama ilivyo duniani kote au kuamua rasimi Kama Taifa kutumia njia zetu kukabiliana na janga hili. Matokeo ya tume ndiyo yatatoa dira ya taifa.
Lakini hata hivyo statement inaonyesha sasa rasimi corona ipo.
Kigwangala angesikilizwa badala ya kumshambulia. Kigwangala alitoa mawazo huru ambayo pengine kwenye baraza hayakusikilizwa akaona ayaseme sasa kwa kuwa habanwi na Uwaziri.
Tatizo la kingwangala sio Yale maneno! Tatizo ni ule unafki wa kumuunga mkono jiwe kuhusu Nyungu!
Unapomtazama Kingwangala usimsahau Lipumba, wana element za unafiki uliokubuhuTatizo la kingwangala sio Yale maneno! Tatizo ni ule unafki wa kumuunga mkono jiwe kuhusu Nyungu! Jiwe kameza moto anajifanya hataki tena Nyungu! Angekua na msimamo mmoja! Kama ni Nyungu Nyungu au kama Science basi Science! Ila yeye anaangalia Jiwe anapiga mziki gani ndo anacheza!
"Acheni Unafki!! Nasema Acheni unafki"(Kwa Sauti ya Bashe)
Naibu waziri Wa afya faustin ndungulile ...wakati watu mmeshupaza shingo kumlaumu kigwangala kwa kuuunga mkono mitazamo hasi ya jiwe kuhusu corona, mtuonyeshe mtendaji yoyote wa serikali aliyesimama peke yake kumpinga.
mkituonyesha, najitoa JF na sirudi tena.
Tatizo la kingwangala sio Yale maneno! Tatizo ni ule unafki wa kumuunga mkono jiwe kuhusu Nyungu! Jiwe kameza moto anajifanya hataki tena Nyungu! Angekua na msimamo mmoja! Kama ni Nyungu Nyungu au kama Science basi Science! Ila yeye anaangalia Jiwe anapiga mziki gani ndo anacheza!
"Acheni Unafki!! Nasema Acheni unafki"(Kwa Sauti ya Bashe)
thubutu yake.Naibu waziri Wa afya faustin ndungulile ...
Alisema kujifukiza ni ujingaa..
Issue ya Kigwangalla kushambuliwa na wananchi siyo kwa dhana kama ulivyoieleza, ameshambuliwa kwani alijitokeza hadharani/mitandaoni kuunga mkono kujifukiza, tena aliandika kwa kina kwanini hakubali chanzo na alisema wazi. Hivyo kwa upande wa Rais Samia ni case nyingine, licha ya kuonyesha msimamo wake juu ya gonjwa hili , yeye HAKUWAHI AIDHA KUANDIKA/KUZUNGUMZA SEHEMU YOYOTE ILE JUU YA KUJIFUKIZA,!
Mh Rais anaunga mkono sera za Hayati ikiwa ni pamoja na kutovaa barakoa[emoji40] ndio maana hata leo anasimama upande wa Hayati wa kutovaa barakoa[emoji40] wakati mwenzake Kigwangalla aliyejionyesha wazi hadi leo anavaa barakoa[emoji40] , lakini hata katika mazungumzo yake amejaribu ku neutralize kwani kuna wengi wanasubiri msimamo wake kama Rais, kwahiyo kwangu naona hapo ndo kuna utofauti wao.
Tunacholalamika kwa Kigwangalla ni unafiki wake wa hali ya juu, rejea pia posts zake leo mitandaoni nimesoma nikaishia kushangaa tu, duniani kuna watu wanafiki sana!!
Bashe hapo chini aliongea huku analia,ni baada ya wasiojulikana kumteka. Awamu iliyopota watu waliteseka sanaTatizo la kingwangala sio Yale maneno! Tatizo ni ule unafki wa kumuunga mkono jiwe kuhusu Nyungu! Jiwe kameza moto anajifanya hataki tena Nyungu! Angekua na msimamo mmoja! Kama ni Nyungu Nyungu au kama Science basi Science! Ila yeye anaangalia Jiwe anapiga mziki gani ndo anacheza!
"Acheni Unafki!! Nasema Acheni unafki"(Kwa Sauti ya Bashe)
Kigwangalla ana hoja, ila ishu yake ni unafiki. Kwa nini hakuongea hili kama alivyofanyaga ndungulile enzi hizo. Inakuaje alisupport nyungu enzi hizo walati jpm yupo mara baada ya jpm kufariki anakana maneno yake ya zamani?.mama hajawahi toa mzimamo wake rasmi kuhusu covid-19 ila unaweza msoma kwa kumcheki, hana mpango na barakoa.... hoja yake mama ni Tz iwe na msimamo kwa jamii za kimataifa kama wanakubali au wanakataa ma sio kutokueleweka wako upande gani...
Kigwangwala ni mnafiki sana,mtu ambaye alisimamia hoja za kisayansi katika sakata la Corona ni Dr. Ndungulile,na msimamo wake huo ukamgharimu kibarua lakini ukampa heshima kitaaluma.