Kwa hoja za Shekhe Mwaipopo, Wakristo wameshinda! Kwa hoja za wananchi! Tanzania imeshinda!

Kwa hoja za Shekhe Mwaipopo, Wakristo wameshinda! Kwa hoja za wananchi! Tanzania imeshinda!

Nsanzagee

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
2,209
Reaction score
4,769
Kitendo cha Sekeretaliet ya bunge kukubali kuwa mkataba unamapungufu, hii imewaongezea credit kubwa wote waliokuwa wakipinga mkataba huu na kuwapunguzia heshima wote waliokuwa wakishabikia mkataba!

Ieleweke hivi! Watu wanapinga mkataba na siyo wawekezaji! Wawekezaji waje na mikataba rafiki, na watia saini watumie vema akili zao kwa manufaa ya watanzania wote, huko nyuma, tumewahi kuingia mikataba mingi ya kijinga na imeendelea kutugharimu kama watanzania!

Viongozi wetu popote pale walipo, sasa wajue, Tanzania italindwa na watanzania na leo siyo jana tena! Tumelizwa vya kutosha!

Watu wameitwa kila aina ya majina! Suala la udini nalo halikuachwa nyuma utadhani udini ni chakula!

Ni vyema sasa mtu ukitaka kuongea jambo, ujiridhishe kwanza kama unachotaka kusema, kina ukweli, kitakuletea heshima iwapo hakitakuwa kama ulivyotarajia ama kitakuvunjia heshima na kudharaulika

Kwa hoja ya shekhe mwaipopo! Awaombe msamaha hao viongozi wa dini na awaite ni watanzania wapigania nchi na maliasili zake

Lakini kwa hoja za wananchi, basi Tanzania imeshinda, kinyume kabisa na ambavyo baadhi ya viongozi wa dini fulani wao walilinasibisha jambo hili la DPword na mkataba wenye utata kuwa ni la watu wa dini fulani wanampinga Mh Rais kwa kuwa siyo Mkirsto

Kwa mara nyingine tena, imedhihirika kuwa, Watu waliosoma, wamesoma tu, watu werevu wataendelea kuwa werevu tu,

Tuwaombe sana wasomi wa nchi hii kutoka kada mbalimbali, wasichoke kuwabeba wajinga na wasiogope kuandamwa na hoja dhaifu za kidini pindi yanapotokea mambo yenye utata kama hili la mkataba wa DPWORD

Mwisho wa siku hata hao wajinga waseme asante kwa msaada wenu

Na hili liwe funzo kwa wote wasiotaka hoja ishindanishwe na hoja na badala yake, kwa akili zao ndogo hukimbilia udini!
 
Hao mashehe ubwabwa ni wachumia tumbo tu, Kama prof shivji, Dr Slaa, Wakili Msomi Boniface ,TLS wameona makosa wazi wazi yaliyopo kwenye mkataba ,hivi Shehe Ubwabwa ,Tivu Ake, Mwijaku, Kitenge, Zembwela na baba Levo ndiyo waje kuona upo sawa na tuwakubalie?
 
Hao mashehe ubwabwa ni wachumia tumbo tu,Kama prof shivji ,Dr Slaa , Wakili Msomi Boniface ,TLS wameona makosa wazi wazi yaliyopo kwenye mkataba ,hivi Shehe Ubwabwa ,Tivu Ake ,Mwijaku ,Kitenge ,Zembwela na baba Levo ndiyo waje kuona upo sawa na tuwakubalie?
Akina kitenge watakuwa wa Barridi Sana. Ujinga umeonekana hadharani
 
Akina kitenge watakuwa wa Barridi Sana. Ujinga umeonekana hadharani

Sijajua Kesho Kitenge na zebwela watafanya nini maana ijumaa walimchana sana Lissu na leo wambeza sana Mbowe.

Yaani Milungula imewachetua ,leo Kitenge ameweka audio clip ya mbowe ikisema "watanzania ni matope tupu" ila Zembwela akamchallenge Kitenge mbona umeweka nusu ebu tuwekee clip nzima ili tujue kama ilo neno alilosema alimaanisha hivyo usikute labda alikuwa ananukuu kiongozi wa zamani.
 
Kitendo cha Sekeretaliet ya bunge kukubali kuwa mkataba unamapungufu, hii imewaongezea credit kubwa wote waliokuwa wakipinga mkataba huu na kuwapunguzia heshima wote waliokuwa wakishabikia mkataba...
Hiyo taarifa ya sekretarieti ya Bunge imetolewa kwenye chombo gani cha habari?
 
Kitendo cha Sekeretaliet ya bunge kukubali kuwa mkataba unamapungufu, hii imewaongezea credit kubwa wote waliokuwa wakipinga mkataba huu na kuwapunguzia heshima wote waliokuwa wakishabikia mkataba...
Nafikiri hili la Bunge kukubali kuwa mkataba wa DP World una mapungufu, kwa sasa si suala la kushangilia kwa sasa.

Hili kwa sasa ni swala la kumshukuru Mungu!

Kwamba kuna kundi la watu wanaona mfalme yuko UCHI, halafu wanamshangilia hadharani kuwa mfalme UMEPENDEZA, ilhali yuko uchi, ni suala la kusikitisha.

Mama Samia tunamshauri afumbe macho na achukue hatua zitakazo mrudishia heshima!
 
Kitendo cha Sekeretaliet ya bunge kukubali kuwa mkataba unamapungufu, hii imewaongezea credit kubwa wote waliokuwa wakipinga mkataba huu na kuwapunguzia heshima wote waliokuwa wakishabikia mkataba!
...
Hii sio official document msijifariji, wahuni fulan wamekaa kilingeni huko wametengeza upuuzi huu
 
Kitendo cha Sekeretaliet ya bunge kukubali kuwa mkataba unamapungufu, hii imewaongezea credit kubwa wote waliokuwa wakipinga mkataba huu na kuwapunguzia heshima wote waliokuwa wakishabikia mkataba...
Hiyo taarifa iko wapi mkuu?
 
Mnajaribu kujitoa ufaham...
Na cheap shots ...hasa mkiishiwa hoja..
Hawa wote wanaounga mkono Dpworld ni waislam?
Lord denning muislam?
mdukuzi muislam?
Steven Joel Ntamusano muislam?
ChoiceVariable muislam?

Malecela muislam??

Usijitoe ufaham..na chuki zako Kwa waislam
Hawawezi kukujibu. Wamekariri udini tu wakati kuna wakristo kwa akili zetu timamu tunaunga mkono mkataba huu toka day 1 hadi sasa
 
Sijajua Kesho Kitenge na zebwela watafanya nini maana ijumaa walimchana sana Lissu na leo wambeza sana Mbowe.

Yaani Milungula imewachetua ,leo Kitenge ameweka audio clip ya mbowe ikisema "watanzania ni matope tupu" ila Zembwela akamchallenge Kitenge mbona umeweka nusu ebu tuwekee clip nzima ili tujue kama ilo neno alilosema alimaanisha hivyo usikute labda alikuwa ananukuu kiongozi wa zamani.
Yule bwege kitenge alipoambiwa hivyo na Zembwela alijichekesha kijinga jinga,nadhani hakuwa-aware wakiwa off mic kuhusu ujinga aliotaka kuufanya
 
Hao mashehe ubwabwa ni wachumia tumbo tu,Kama prof shivji ,Dr Slaa , Wakili Msomi Boniface ,TLS wameona makosa wazi wazi yaliyopo kwenye mkataba ,hivi Shehe Ubwabwa ,Tivu Ake ,Mwijaku ,Kitenge ,Zembwela na baba Levo ndiyo waje kuona upo sawa na tuwakubalie?
Walanguzi/Madalali wa Rasilimali
Prof Mbawala
Mwijaku
Steve Nyerere
Maulid Kitenge
Zembwela
UVCCM
Prof. Mkumbo
Wasira
Manara
Polisi
Shilole

Watetezi wa Rasilimali
Prof. Shivji
Dr. Slaa
Tundu Lissu
Adv. Mwambukusi
Adv. Rugemeleza Nshala
CHADEMA
Viongozi wa Dini
Watanzania
TLS
 
Back
Top Bottom