Kwa hoja za Shekhe Mwaipopo, Wakristo wameshinda! Kwa hoja za wananchi! Tanzania imeshinda!

Slaa hata Ukizindua Gongo au chibuku wee andaa pesa ya kumlipa atakuja tu kupiga promotion kwa sauti kali sana ya msisitizo
Tunasafari ndefu sana kwenye Imani, ucha Mungu hauishii tu mlangoni mwa msikiti au kanisa, ucha Mungu ni kielelezo cha maisha yote ya mtu

Umeandika haya kwanza ukiwa huwezi kuthibitisha, badaye uingie msikitini? Unaenda kufanya ninj, kutubu?

Siyo haki mkuu, hata hapa jukwaani inakupasa uonyeshe imani yako mbele za mola wako kwa kuwatendea haki watu
 
Wakristo na chadema yao wana ujinga mwingi sana vinginevyo waachane na chadema kama alivyoazimia sheikh mzito kabisa Mwaipopo.
 
Slaa kama aliweza kumpigia promotion Rais Muuaji, Katili, dhalimu kwa kuwa tu alipewa Ubalozi ndio ashindwe ku promote Gongo akipewa pesa? kwa akili yako unadhani Mtu alieshindwa kukemea walau kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu kwa kuwa alipewa fursa ndio atashindwa ku promote Gongo akilipwa ?
 
Hao walilipwa kusifia mkataba
 
Changamoto maza yeye hasomi chochote kazi yake ni kusaini pekee
 
Kitenge ni F4 failure hawezi kujua kilichopo kwenye mkataba
 
Mwanakondoo ameshinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…