Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂😂😂😂 Njaa mbaya sanaSlaa hata Ukizindua Gongo au chibuku wee andaa pesa ya kumlipa atakuja tu kupiga promotion kwa sauti kali sana ya msisitizo
Kitila Mkumbo, Chongolo , Kitenge & cona kuwapunguzia heshima wote waliokuwa wakishabikia mkataba!
Fatu ni mpuuzi sanaFaizaFoxy ni mtu mkubwa sana sema anajitoa akili sana behind fake Id .
Tunasafari ndefu sana kwenye Imani, ucha Mungu hauishii tu mlangoni mwa msikiti au kanisa, ucha Mungu ni kielelezo cha maisha yote ya mtuSlaa hata Ukizindua Gongo au chibuku wee andaa pesa ya kumlipa atakuja tu kupiga promotion kwa sauti kali sana ya msisitizo
Wakristo na chadema yao wana ujinga mwingi sana vinginevyo waachane na chadema kama alivyoazimia sheikh mzito kabisa Mwaipopo.Kitendo cha Sekeretaliet ya bunge kukubali kuwa mkataba unamapungufu, hii imewaongezea credit kubwa wote waliokuwa wakipinga mkataba huu na kuwapunguzia heshima wote waliokuwa wakishabikia mkataba!
Ieleweke hivi! Watu wanapinga mkataba na siyo wawekezaji! Wawekezaji waje na mikataba rafiki, na watia saini watumie vema akili zao kwa manufaa ya watanzania wote, huko nyuma, tumewahi kuingia mikataba mingi ya kijinga na imeendelea kutugharimu kama watanzania!
Viongozi wetu popote pale walipo, sasa wajue, Tanzania italindwa na watanzania na leo siyo jana tena! Tumelizwa vya kutosha!
Watu wameitwa kila aina ya majina! Suala la udini nalo halikuachwa nyuma utadhani udini ni chakula!
Ni vyema sasa mtu ukitaka kuongea jambo, ujiridhishe kwanza kama unachotaka kusema, kina ukweli, kitakuletea heshima iwapo hakitakuwa kama ulivyotarajia ama kitakuvunjia heshima na kudharaulika
Kwa hoja ya shekhe mwaipopo! Awaombe msamaha hao viongozi wa dini na awaite ni watanzania wapigania nchi na maliasili zake
Lakini kwa hoja za wananchi, basi Tanzania imeshinda, kinyume kabisa na ambavyo baadhi ya viongozi wa dini fulani wao walilinasibisha jambo hili la DPword na mkataba wenye utata kuwa ni la watu wa dini fulani wanampinga Mh Rais kwa kuwa siyo Mkirsto
Kwa mara nyingine tena, imedhihirika kuwa, Watu waliosoma, wamesoma tu, watu werevu wataendelea kuwa werevu tu,
Tuwaombe sana wasomi wa nchi hii kutoka kada mbalimbali, wasichoke kuwabeba wajinga na wasiogope kuandamwa na hoja dhaifu za kidini pindi yanapotokea mambo yenye utata kama hili la mkataba wa DPWORD
Mwisho wa siku hata hao wajinga waseme asante kwa msaada wenu
Na hili liwe funzo kwa wote wasiotaka hoja ishindanishwe na hoja na badala yake, kwa akili zao ndogo hukimbilia udini!
Slaa kama aliweza kumpigia promotion Rais Muuaji, Katili, dhalimu kwa kuwa tu alipewa Ubalozi ndio ashindwe ku promote Gongo akipewa pesa? kwa akili yako unadhani Mtu alieshindwa kukemea walau kupigwa Risasi kwa Tundu Lissu kwa kuwa alipewa fursa ndio atashindwa ku promote Gongo akilipwa ?Tunasafari ndefu sana kwenye Imani, ucha Mungu hauishii tu mlangoni mwa msikiti au kanisa, ucha Mungu ni kielelezo cha maisha yote ya mtu
Umeandika haya kwanza ukiwa huwezi kuthibitisha, badaye uingie msikitini? Unaenda kufanya ninj, kutubu?
Siyo haki mkuu, hata hapa jukwaani inakupasa uonyeshe imani yako mbele za mola wako kwa kuwatendea haki watu
Hao walilipwa kusifia mkatabaHao mashehe ubwabwa ni wachumia tumbo tu, Kama prof shivji, Dr Slaa, Wakili Msomi Boniface ,TLS wameona makosa wazi wazi yaliyopo kwenye mkataba ,hivi Shehe Ubwabwa ,Tivu Ake, Mwijaku, Kitenge, Zembwela na baba Levo ndiyo waje kuona upo sawa na tuwakubalie?
Changamoto maza yeye hasomi chochote kazi yake ni kusaini pekeeNafikiri hili la Bunge kukubali kuwa mkataba wa DP World una mapungufu, kwa sasa si suala la kushangilia kwa sasa.
Hili kwa sasa ni swala la kumshukuru Mungu!
Kwamba kuna kundi la watu wanaona mfalme yuko UCHI, halafu wanamshangilia hadharani kuwa mfalme UMEPENDEZA, ilhali yuko uchi, ni suala la kusikitisha.
Mama Samia tunamshauri afumbe macho na achukue hatua zitakazo mrudishia heshima!
Huyo ajuza ni mdiniNdio yule @Bi. Chau aliyeuza nchi?
Kitenge ni F4 failure hawezi kujua kilichopo kwenye mkatabaSijajua Kesho Kitenge na zebwela watafanya nini maana ijumaa walimchana sana Lissu na leo wambeza sana Mbowe.
Yaani Milungula imewachetua ,leo Kitenge ameweka audio clip ya mbowe ikisema "watanzania ni matope tupu" ila Zembwela akamchallenge Kitenge mbona umeweka nusu ebu tuwekee clip nzima ili tujue kama ilo neno alilosema alimaanisha hivyo usikute labda alikuwa ananukuu kiongozi wa zamani.
Mwanakondoo ameshindaKitendo cha Sekeretaliet ya bunge kukubali kuwa mkataba unamapungufu, hii imewaongezea credit kubwa wote waliokuwa wakipinga mkataba huu na kuwapunguzia heshima wote waliokuwa wakishabikia mkataba!