PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia, Padri Kitima aongezewe ulinzi mkubwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Gabeji

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2024
Posts
2,174
Reaction score
3,156
Sina mengi, leo nimesikiliza hotiba ya Rais Samia, nimeshangaa, nimesikitika na kuhuzunika sana, sikutemea.

In short father Kitima, kwa usalama wa maisha yako ni bora anza kuishi kama Askofu Gwajima. KUANZIA jana maisha Yako yapo hatarini sana.
 
Hawawezi kumdhuru tena ,Fr Kitima ashajua kwamba anawindwa kwahiyo ulinzi anao wa kuSHATO.
 
Mimi utabiri wangu ulikuwa hivi. Kuna watumishi wa Mungu Dkt Samia atawaua ili kuonesha yeye ndiye mwenye nguvu kuzidi Mungu. Na hapo ndipo gadhabu kuu ya Mungu itakapomshukia. Uzuri kitu ambacho yeye hajui ni kuwa Mwanajeshi au Polisi ndani ya familia yake kuna Muislamu, Mkristo hivyo it is going to backfire. Lile jaribio la kutaka Fr. Kitima afe yeye ndiye aliagiza
 
Mungu amlinde padre
 
Kwan lidssu alikuwa hana ulinzi??
Heche nae alikuwa hana ulinzi?? Ulinzi sio hoja
hivi wanakuaga na ulinzi wa nini wale wajuba kama huwa wanadakwa kindezi? Ulinzi maana yake ni mnyukano kwa atakayejaribu kumdhuru au kumsumbua
 
Back
Top Bottom