PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia, Padri Kitima aongezewe ulinzi mkubwa

PostGE2025 Kwa hotuba ya Rais Samia, Padri Kitima aongezewe ulinzi mkubwa

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Sina mengi, leo nimesikiliza hotiba ya Rais Samia, nimeshangaa, nimesikitika na kuhuzunika sana, sikutemea.

In short father Kitima, kwa usalama wa maisha yako ni bora anza kuishi kama Askofu Gwajima. KUANZIA jana maisha Yako yapo hatarini sana.
Gwajima is still on the hidings
 
Kwan lidssu alikuwa hana ulinzi??
Heche nae alikuwa hana ulinzi?? Ulinzi sio hoja
Mbona haujauliza na Zakaria wa Mara nae alikuwa hana Ulinzi? Ulinzi naozungumzia mimi ni kuwa FULL LOADED - Always Strapped - SIZUNGUMZII ULINZI WA MABAUNSA.
 
Kweli na watakaotumwa kummaliza ni wakatoliki wenzie
Kanisa shtukune ikiwezena mkafishe huko mbali
Hiki kishetani hakijatosheka Damu za watu
kabisa mkuu
 
Hata Gwajima tulishatahadharisha yaani asijitokeze kabisa maana wamefungua kanisa ili waje wamuue wakidhani watamalizana naye akishakufa.
Kabisa mkuu,
 
Back
Top Bottom