KWA hotuba za Jana, Naungana na JK Mama amalizie mitano yake. Polepole hakijui Chama chao.

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
9,514
Reaction score
23,523
Kwa ufafanuzi wa JK na KWA hoja za wazungumzaji wote zilijaribu kumtenga mama na chochote kilichofanyika kabla hajashika usukani wa kitaifa.

Wanasema Alikuta Uchumi Umeshuka.
Alikuta Vyombo vya habari na uhuru wa habari umekandamizwa sana.
Etc

Nilichokielewa, CCM mtu akiwa Rais chochote kibaya kikitokea ni chake na hakimuhusu yeyote aliye chini yake. Ni sawa na Baba kwenye familia hata akikosea mtoto umekosea wewe.

Kwa ufahamu niliouelewa Jana sio tu wasaidizi wa Rais na Serikali yote haihusiki na ubaya au udhaifu wake hata CCM yenyewe kama Chama ikishampa mtu urais kupitia Chama hicho haihusiki na ubaya wake. Ndio maana tunaambiwa mazuri ya CCM ya mama DHIDI ya mabaya ya CCM ya hayati JPM.

Hivyo huo ndio utamaduni ambao Polepole aliusahau. Kwa kauli ya JK ni kwamba mama anaanza kuwajibika tangu siku alipochukua nafasi ya Rais na Sio umakamu wake. Hivyo anahaki kama ilivyokuwa KWA Mkapa, JK na JPM kumalizia kipande chake cha miaka 5 ili 2030 tusuburi mwingine. Tena kama anapunjwa alitakiwa afike hata 2032 ili akamilishe bajeti yake ya miaka 10.

Jana Mimi na mke wangu tulitenga muda kusikiliza burudani na hotuba zote za CCM pale kawe. Japo sikufurahishwa na MC Mwenezi kutotulia wakati wa maombi na Dua. Tena anacheka wakati Hananja anaongea na Bwana Yesu. Sisi tunaamini NGUVU ya maombi tuliona Muhusika mkuu tu NDIYE aliyekuwa makini ila wengine wote waliwaona watoa Dua kama wapiga kampeni na Sio waongea na Mungu. Mama KWA utulivu ule wa Dua ubarikiwe sana.

Ni hayo tu, KWA CCM mama automatically bila kuonewa hata KWA kuvunja utaratibu ni sahihi kumalizia kipande chake, ibaki sisi wananchi kuona aendelee au la KWA njia ya Box huku wakina Polepole wakihakikisha kama Kuna kebo yoyote basi izuiwe ili box litupe kiongozi.
 
Alitengwa pia na uuaji, utekaji, uuzaji wa mgodi wa makaa ya mawe kwa mtu binafsi, kuzuia wakristo wa dhehebu fulani kusali, etc,?
 
Hizo zinaweza KUWA kete za ajaye zitakazomsaidia kukamata Dola kama wa Sasa hata zirekebisha. Ila hapo Chama hakihusiki. Ni kama mbeleko tu ya kuwapa watu usukani wa kitaifa ila chenyewe kinajitenga na matokeo mabaya ya muhusika KUWA hapo juu. Ila kitatumia ubaya huo kumpa mwingine fursa ya kutawala.
 
Hizo zinaweza KUWA kete za ajaye zitakazomsaidia kukamata Dola kama wa Sasa hata zirekebisha. Ila hapo Chama hakihusiki. Ni kama mbeleko tu ya kuwapa watu usukani wa kitaifa ila chenyewe kinajitenga na matokeo mabaya ya muhusika KUWA hapo juu. Ila kitatimia ubaya huo kumpa mwingine fursa ya kutawala.
Kwa maneno yako chama hakihusiki bali Samia anahusika, sio? Kama anahusika, kwa nini Chama kimchague kuwa mgombea urais? Ina maana kimebariki matendo yake hivyo kinahusika.
 
Kwa ufafanuzi wa JK na KWA hoja za wazungumzaji wote zilijaribu kumtenga mama na chochote kilichofanyika kabla hajashika usukani wa kitaifa.

Wanasema Alikuta Uchumi Umeshuka.
Alikuta Vyombo vya habari na uhuru wa habari umekandamizwa sana.
Etc

Nilichokielewa, CCM mtu akiwa Rais chochote kibaya kikitokea ni chake na hakimuhusu yeyote aliye chini yake. Ni sawa na Baba kwenye familia hata akikosea mtoto umekosea wewe.

Kwa ufahamu niliouelewa Jana sio tu wasaidizi wa Rais na Serikali yote haihusiki na ubaya au udhaifu wake hata CCM yenyewe kama Chama ikishampa mtu urais kupitia Chama hicho haihusiki na ubaya wake. Ndio maana tunaambiwa mazuri ya CCM ya mama DHIDI ya mabaya ya CCM ya hayati JPM.

Hivyo huo ndio utamaduni ambao Polepole aliusahau. Kwa kauli ya JK ni kwamba mama anaanza kuwajibika tangu siku alipochukua nafasi ya Rais na Sio umakamu wake. Hivyo anahaki kama ilivyokuwa KWA Mkapa, JK na JPM kumalizia kipande chake cha miaka 5 ili 2030 tusuburi mwingine. Tena kama anapunjwa alitakiwa afike hata 2032 ili akamilishe bajeti yake ya miaka 10.

Jana Mimi na mke wangu tulitenga muda kusikiliza burudani na hotuba zote za CCM pale kawe. Japo sikufurahishwa na MC Mwenezi kutotulia wakati wa maombi na Dua. Tena anacheka wakati Hananja anaongea na Bwana Yesu. Sisi tunaamini NGUVU ya maombi tuliona Muhusika mkuu tu NDIYE aliyekuwa makini ila wengine wote waliwaona watoa Dua kama wapiga kampeni na Sio waongea na Mungu. Mama KWA utulivu ule wa Dua ubarikiwe sana.

Ni hayo tu, KWA CCM mama automatically bila kuonewa hata KWA kuvunja utaratibu ni sahihi kumalizia kipande chake, ibaki sisi wananchi kuona aendelee au la KWA njia ya Box huku wakina Polepole wakihakikisha kama Kuna kebo yoyote basi izuiwe ili box litupe kiongozi.
Ok, vipi baada ya kushika yeye kijiti, waliongelea hayo pia?
 
Mabaya ni ya nani sasa?
Katika awamu zote huwa yanakuzwa mazuri. Mabaya watasema wapinzani wake.
Na yeye anaweza kuyarekebisha kama sehemu ya kuongeza mazuri yake. Ila yanaweza kufugwa na Chama ili yatumike kama kete za kumuuzia mgombea wao 2030. Nadhani ndio nilivyoelewa
 
Someni between the lines, mtamwelewa mleta mada.
 
Katika awamu zote huwa yanakuzwa mazuri. Mabaya watasema wapinzani wake.
Na yeye anaweza kuyarekebisha kama sehemu ya kuongeza mazuri yake. Ila yanaweza kufugwa na Chama ili yatumike kama kete za kumuuzia mgombea wao 2030. Nadhani ndio nilivyoelewa
Wewe angalau unaifahamu siasa.
 
Back
Top Bottom