Kwa hukumu ya bwana Hamisi kunyongwa hadi kufa nimejifunza yafuatayo

Kwa hukumu ya bwana Hamisi kunyongwa hadi kufa nimejifunza yafuatayo

maisha ya ndoa.

Binafsi mpenzi wangu alikuwa mkristo na nilitamani kubadilisha dini ili nimuoe ila kwa kisa hiki Naona Bora mapema kabisa kupiga chini mana ana jeuri na kiburi na ni mtu anauwezo mkubwa wa kukupanda kichwani na kukupa hasira.
Kama ulivyoandika hapo juu #1 mwanaume kubadilisha dini kisa mwanamke as a man ni udhaifu mmoja mkubwa mno kwanza hata yeye kabla hata ya zile dharau za ndani ya nyumba atakuwa anakudharau kwa hilo.

Nimekuwa surprised hata wewe mleta mada ulikuwa unaingia mkenge kichwa kichwa kwenye huu mtego.
 
Hivi hii U
Hivi hii Hukumu ya kunyongwa iko mara 2?, kuna Kunyongwa hadi kufa na Kunyongwa pasipo kufa?
Yes,historia inaonyesha kuna mtu alihukumiwa kunyongwa baada ya kuwekwa kitanzini na kuanza kuning'inia kamba ikakatika wanasheria wake wakakomalia jamaa keshanyongwa sababu hukum ilistate kunyongwa tu na sio kufa,akachomoka.
 
1. Mwanaume usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke hata kama unampenda vipi.

03. Ukiona mwanamke ana asili ya jeuri na kiburi achana nae mapema sana. Usipomuacha itakuja kukucost sana hapo baaadae

04. Pesa na nyumba sio mahitaji ya mwanamke, jamaa alikuwa na nyumba Kali na gari nne ila mke alikuwa hatuliii sijui alikuwa anataka Nini.

06. Ukiamua kuachana na mwanamke usibembeleze Bora ukubali kukosa kila kitu ila usiforce mahusiano mabaya

07. Ndugu upande wa mke wako automatically hawakupendi.. hata kama mkeo anafanya makosa gani.

08. Mwanamke aliesoma sio salama sana, wengi wao ni wajuaji viburi na majeuri.
Hizi ni point kali sana.
Huu uzi utaokoa wengi walio upitia
 
Na ndo weng wakiumizwa hko hukimbilia mitandaon kulialia, cjui ndo inakua wameadhirika kisaikorojia
Wanaume wana akili za kike siku hizi, kazi kulalamika tu mitandaoni, mara singo maza hivi, demu wangu vile kama ilivyokua kwa Ke zamani.
 
Wakizingua nawapa talaka wote naanza upya mzee, wasiwasi wako nini?
Halafu unabaki na watoto wao, unaleta wengine wake kulelea hao watoto! Ingekuwa rahisi hivyo unazani watu wangekuwa wanagaragazana Kisha wanaendelea?
 
Mkuu Labda tunatesana kwa zamu. leo KE kesho ME
Mmeingia kwenye mtego wao, hamtake action kazi kulalamika.

Unakuta jitu limechapiwa live live bila chenga na hajui afanye nini anaomba ushauri, mke analeta madharau lakini mtu anatoa mchozi kuomba ushauri.
 
Itabid tuweke sheria ya viboko hawa boy lialia wakija kuomba ushaur jambo ambalo maamzi yake mepes
 
1. Mwanaume usibadilishe dini kwa sababu ya mwanamke hata kama unampenda vipi.

2. Ikitokea umefanya makosa ya jinai ukitaka kufanya udanganyifu kama huna elimu lazima utaishia kukamatwa tu, jamaa alijitumia message kama anachart na mkawake at the same time at the same location 😂

03. Ukiona mwanamke ana asili ya jeuri na kiburi achana nae mapema sana. Usipomuacha itakuja kukucost sana hapo baaadae

04. Pesa na nyumba sio mahitaji ya mwanamke, jamaa alikuwa na nyumba Kali na gari nne ila mke alikuwa hatuliii sijui alikuwa anataka Nini.

05. Ni muhimu sana kujua afya ya akili ya mpenzi wako au mchumba wako.

06. Ukiamua kuachana na mwanamke usibembeleze Bora ukubali kukosa kila kitu ila usiforce mahusiano mabaya

07. Ndugu upande wa mke wako automatically hawakupendi.. hata kama mkeo anafanya makosa gani.

08. Mwanamke aliesoma sio salama sana, wengi wao ni wajuaji viburi na majeuri.

Soma Pia: Aliyemteketeza mkewe kwa magunia mawili ya mkaa ahukumiwa Kunyongwa mpaka Kufa

09. Kuna mambo mengi katika ndoa ambayo yanaweza kukupa hasira mpaka uamue kuuwa.

10. Kunyimana unyumba ni jambo hatari Sana katika maisha ya ndoa.

Binafsi mpenzi wangu alikuwa mkristo na nilitamani kubadilisha dini ili nimuoe ila kwa kisa hiki Naona Bora mapema kabisa kupiga chini mana ana jeuri na kiburi na ni mtu anauwezo mkubwa wa kukupanda kichwani na kukupa hasira.

Mwanamke aliesoma sio salama sana, wengi wao ni wajuaji viburi na majeuri. Hii siyo kweli, wanawake hatari ni wale waliopata socialisation iliyovuka mipaka ya uelewa wao, hawa ni lay ladies kutoka kijijini galaxy yuko mini, ref: Professor Jay ft Ferooz – Nikusaidiaje https://www.google.com/url?sa=t&sou...QtwJ6BAgtEAE&usg=AOvVaw3eWRD9x1dHRhY1CQgosteU
 
Though ukimsoma Hamis mwenyewe is like yeye ndio alimbadiri tabia huyu mwanamke; mwanamke before hakuaga mnywa pombe, Hamisi ndio alimfanya mtoto wa watu aanze kunywa pombe (may be na mambo ya kutoka nje ya ndoa) Nashauri tu, chochote unacho mpa mwanamke, she will multiply it first then return it back to you; so be careful with what you put to your woman
 
Back
Top Bottom