chama konokono
Senior Member
- Apr 27, 2023
- 103
- 226
Uchezaji wa Hovyo kabisaaPira la hovyo kabisa, tukiongea wanasimba wenzetu wanatuambia sisi si mashabiki wa kweli.[emoji1787][emoji23]
sikuona sababu ya kuja na mpira wa butua butua.....Pira la hovyo kabisa, tukiongea wanasimba wenzetu wanatuambia sisi si mashabiki wa kweli.๐คฃ๐
Hatupiti...na naomba tu tufungwe...Robatinho na kipa wake wasepe....timu apewe Mgunda ..angalau mpira wake unaelewekaJapo najua tutafuzu na kuwaondosha hawa Power Dinamos, ila sioni chetu huko group stage.
Tunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo.
Endapo tukikutana na timu Bora basi kupigwa hamsa itakuwa ni jambo la kawaida sana.
Simba nguvu moja[emoji123]
#Robertinho Out#
Hapo mmeanzia hatua ya pili,sijui mngeanzia ya kwanza sijui ingekuwajeJapo najua tutafuzu na kuwaondosha hawa Power Dinamos, ila sioni chetu huko group stage.
Tunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo.
Endapo tukikutana na timu Bora basi kupigwa hamsa itakuwa ni jambo la kawaida sana.
Simba nguvu moja[emoji123]
#Robertinho Out#
Papatu papatuBora hata nyinyi wenyewe ni mashahidi. Aisee huu mpira hauvutii. Ni kubutua butua tu.
Mpeni timu Mgunda,tulishawaambia tangu kitamboHovyo sana.! Kwa mpira huu wa Robertinho kushinda hii mechi ni ndoto.! Wachezaji wenyewe wanacheza kifaza sana Pumbavu zao
Pale myule golie hamuna kitu.sikuona sababu ya kuja na mpira wa butua butua.....
Kwa level ilipofika Simba nilitegemea icheze mpira wa level flan ila nachoona hapa first half ni ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ๐ฎ
Ukubwa wa team huonekana hata na mpira unaocheza ni WA kikubwa ila sio Simba wanachokicheza ....... sijui kama viongozi waliangalia falsafa ya Simba na kocha walomleta....
Halafu golie ivi kinachombeba ni rangi ama sijawahi cheza mpira maana vitu vipo wazi golie mweupe sana huyu mara mia Ally ........
๐ leo naona Baraka Mpenja anatangaza kwa tahadhari kweli kweli. Mpaka muda huu sijamsikia akitaja neno papatu papatu!Papatu papatu
Ahaaaaaa,kala Hela za wanasimba,hivyo lazima awe makini๐ leo naona Baraka Mpenja anatangaza kwa tahadhari kweli kweli. Mpaka muda huu sijamsikia akitaja neno papatu papatu!
Tunacheza kama Tunaogopa sijui nini mpira hautulii...Yaaani wachezaji wako na anxiety utadhania wanacheza na Barca au Real Madrid kumbe wanacheza na Power Dynamo tu Yaaani huu ni upuuziJapo najua tutafuzu na kuwaondosha hawa Power Dinamos, ila sioni chetu huko group stage.
Tunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo.
Endapo tukikutana na timu Bora basi kupigwa hamsa itakuwa ni jambo la kawaida sana.
Simba nguvu moja[emoji123]
#Robertinho Out#
Aombe Simba ifuzu,Mfalme wa matusi GENTAMYCINE leo kijambio chake kitateseka kwa ushuzi