Kwa huu mpira papatu papatu sioni tukifika mbali CAFCL

chama konokono

Senior Member
Joined
Apr 27, 2023
Posts
103
Reaction score
226
Japo najua tutafuzu na kuwaondosha hawa Power Dinamos, ila sioni chetu huko group stage.
Tunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo.

Endapo tukikutana na timu Bora basi kupigwa hamsa itakuwa ni jambo la kawaida sana.

Simba nguvu moja[emoji123]
#Robertinho Out#
 
Pira la hovyo kabisa, tukiongea wanasimba wenzetu wanatuambia sisi si mashabiki wa kweli.🤣😂
sikuona sababu ya kuja na mpira wa butua butua.....
Kwa level ilipofika Simba nilitegemea icheze mpira wa level flan ila nachoona hapa first half ni 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Ukubwa wa team huonekana hata na mpira unaocheza ni WA kikubwa ila sio Simba wanachokicheza ....... sijui kama viongozi waliangalia falsafa ya Simba na kocha walomleta....

Halafu golie ivi kinachombeba ni rangi ama sijawahi cheza mpira maana vitu vipo wazi golie mweupe sana huyu mara mia Ally ........
 
Japo najua tutafuzu na kuwaondosha hawa Power Dinamos, ila sioni chetu huko group stage.
Tunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo.

Endapo tukikutana na timu Bora basi kupigwa hamsa itakuwa ni jambo la kawaida sana.

Simba nguvu moja[emoji123]
#Robertinho Out#
Hatupiti...na naomba tu tufungwe...Robatinho na kipa wake wasepe....timu apewe Mgunda ..angalau mpira wake unaeleweka
 
Japo najua tutafuzu na kuwaondosha hawa Power Dinamos, ila sioni chetu huko group stage.
Tunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo.

Endapo tukikutana na timu Bora basi kupigwa hamsa itakuwa ni jambo la kawaida sana.

Simba nguvu moja[emoji123]
#Robertinho Out#
Hapo mmeanzia hatua ya pili,sijui mngeanzia ya kwanza sijui ingekuwaje
 
sikuona sababu ya kuja na mpira wa butua butua.....
Kwa level ilipofika Simba nilitegemea icheze mpira wa level flan ila nachoona hapa first half ni 🚮🚮🚮🚮🚮🚮🚮
Ukubwa wa team huonekana hata na mpira unaocheza ni WA kikubwa ila sio Simba wanachokicheza ....... sijui kama viongozi waliangalia falsafa ya Simba na kocha walomleta....

Halafu golie ivi kinachombeba ni rangi ama sijawahi cheza mpira maana vitu vipo wazi golie mweupe sana huyu mara mia Ally ........
Pale myule golie hamuna kitu.
Ila mi nakwambia hivi hivi na pira letu tutafika mbali
 
Japo najua tutafuzu na kuwaondosha hawa Power Dinamos, ila sioni chetu huko group stage.
Tunacheza hovyo sana, yaani ni kama vile timu ya ndondo.

Endapo tukikutana na timu Bora basi kupigwa hamsa itakuwa ni jambo la kawaida sana.

Simba nguvu moja[emoji123]
#Robertinho Out#
Tunacheza kama Tunaogopa sijui nini mpira hautulii...Yaaani wachezaji wako na anxiety utadhania wanacheza na Barca au Real Madrid kumbe wanacheza na Power Dynamo tu Yaaani huu ni upuuzi

Hakuna Formula ya Uchezaji na tumefanya uwekezaji mkubwa kwenye Wachezaji lakini Zero kabisa...

Lile sio Goal la kufungwa kipa mzembe (Sasa huyu ndo kipa wa Bil.3 Kweli...

Kuna mambo Huwa yanauma na kukera sana...
Tukiendelea na mchezo tuliocheza First Half sioni tukitoboa...
Ni mpuuzi tu ndo anaweza kuvumilia haya machungu na huu ujinga tunaofanyiwa hapa

#Nguvu Moja
 
Back
Top Bottom