Kwa huu mshahara, take home ni shingapi?

Jana 1,549,000
Leo 500,000+
Hata tunachezewa akili tu.
 
Ingia kwenye website ya TRA angalia utakatwa PAYE ya kiasi Gani

Hata hivyo utakatwa pia Bima ya Afya pamoja na hiyo Bodi ya Mikopo bila kusahau NSSF ya 10% hivi

Roughly unaweza kurudi home na shilingi 930,000 hivi
Wasomi wako hapa. Japo maths haikuwa hobby yangu,lakini kwa swali alilouliza na jibu ulilompa,ingelikuwa mimi,ningesema sijui.
 
Mwanzoni alitaja kiasi hicho nilichomjibu ila baadaye naona aliamua ku-edit kiasi cha mshahara wake

Angalia kuna mtu alimkoti akiwa hajafanya editing yeyote

Hizo zilikuwa ni hesabu za kawaida

Kwa Taaluma niliyonayo ilinilazimu kusoma Somo la Hesabu kuanzia Class I hadi Chuo Kikuu hivyo nisingeweza kukosa swali la Kutoa na Kujumlisha
 
Mshahara 582,000 halafu unamwambia atarudi na 930,000 home? Vp shehe?
Nilimjibu sahihi kabla yeye muuliza swali kuedit kiasi cha Gross Salary yake

Mwanzoni alisema anapokea 1.58M baadaye ndiyo amerekebisha kwa kuandika 583k
 
Mwanzoni alitaja kiasi hicho nilichomjibu ila baadaye naona aliamua ku-edit kiasi cha mshahara wake

Angalia kuna mtu alimkoti akiwa hajafanya editing yeyote

Hizo zilikuwa ni hesabu za kawaida

Kwa Taaluma niliyonayo ilinilazimu kusoma Somo la Hesabu kuanzia Class I hadi Chuo Kikuu hivyo nisingeweza kukosa swali la Kutoa na Kujumlisha
Kwa hiyo,hata yeye hajui mshahala aliopewa? Duh! Waajili wengine mbona wapo matatani sasa na wao! Kwa mtindo huu! Basi hata kumjibu mmekosea
 
Ingia kwenye website ya TRA angalia utakatwa PAYE ya kiasi Gani

Hata hivyo utakatwa pia Bima ya Afya pamoja na hiyo Bodi ya Mikopo bila kusahau NSSF ya 10% hivi

Roughly unaweza kurudi home na shilingi 930,000 hivi
Shkamoo
 
Kwa hiyo,hata yeye hajui mshahala aliopewa? Duh! Waajili wengine mbona wapo matatani sasa na wao! Kwa mtindo huu! Basi hata kumjibu mmekosea
Huenda aliamua kuedit baada ya kuona maswali ya wadau humu kuhusu ni ajira Gani aliyopata hadi kuanza kulipwa Gross salary ya 1.58M wakati wenzao wengi wanaanza na mishahara ya Chini ya hapo Kwa first appointment
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]watu tunaanza na kujitolea yeye analipwa mamilion...
 
Back
Top Bottom