Shin Lim
JF-Expert Member
- Mar 27, 2012
- 7,837
- 14,198
Jaribu kwenda kwa mangi na laki 2, asubuhi hesabu zitakuwa ni UMETUMIA shilingi ngapi.Kwani mangi na Sinza pazuri wanatofatiana bei au?
Lakini ukienda kitambaa cheupe hesabu zitakuwa ni UMEBAKIWA na shilingi ngapi.
Tena kibaya zaidi hela zenyewe zinakuwa za kutafuta. Mara buku 2 uikute kwenye mfuko wa shati, 5000 mfuko wa suruali wa nyuma. Misimbazi kama mitatu ndio unaikuta kwenye waleti.
Unapiga hesabu ulivyotumia lakini hazienei.
Hii hali kuna watu wameipitia leo, niamini mimi.