OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
View: https://youtu.be/8e1UBU81_gc?si=2Q1GQkjkwy7vREo7
Nisiwachoshe.....
Uliibuliwa uozo wa kutisha na Lissu kuhusu ufisadi wa sukari. Uozo huo umejengewa hoja bungeni na Mpina. Bashe amepiga pesa kubwa, Lissu anasema Bashe ameshirikiana na Abdul kuuza vibali kimagumashi.
Kabla ya upigaji wa sukari kulikuwa na mradi hewa wa BBT. Mradi umeshindwa.
Najiuliza Bashe bado anafanya nini wizarani mpaka leo bado hajajiuzuru. Au ndio kusema alipata maelekezo toka juu?
Inashangaza mpaka sasa bado hajafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na ufisadi wa kutisha