Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hii wala siifuti, ndio yale ya kuambiwa "Unaulizia makofi polisi" wala haina tofauti kabisa. Watu wanakula kama wanakula na kipofu vile bila kushikana mikono.Jamaa kama msomi hupaswi kuwa na hizo mindset za kimasikini, hivi shule uliyonayo ulienda kusoma vitu gani? Nakushauri futa hii comment jamaa
Yani ile ya Jakaya ilikuwa Trailer, sahizi ndio movie kamili. Watu wanapiga mafungu kwa billions bila hiyana.Sasa hivi ndio fungulia mbwa
Chura wa Kizimkazi ameruhusu kula kwa urefu wa kamba aliyofungiwa!
Ni kama Fungulia mbwaKama beki hazikabi kwanini isisemwe. Kabumbu linachezwa bila mabeki watu wanajifungia magoli tu kutoka kila kona.😁