Kwa huu ufisadi wa kutisha wa sukari na kushindwa kwa BBT Bashe bado yupo wizarani?

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Joined
Aug 24, 2011
Posts
53,868
Reaction score
121,001

View: https://youtu.be/8e1UBU81_gc?si=2Q1GQkjkwy7vREo7
Nisiwachoshe.....
Uliibuliwa uozo wa kutisha na Lissu kuhusu ufisadi wa sukari. Uozo huo umejengewa hoja bungeni na Mpina. Bashe amepiga pesa kubwa, Lissu anasema Bashe ameshirikiana na Abdul kuuza vibali kimagumashi.

Kabla ya upigaji wa sukari kulikuwa na mradi hewa wa BBT. Mradi umeshindwa.

Najiuliza Bashe bado anafanya nini wizarani mpaka leo bado hajajiuzuru. Au ndio kusema alipata maelekezo toka juu?

Inashangaza mpaka sasa bado hajafunguliwa kesi ya uhujumu uchumi, matumizi mabaya ya madaraka na ufisadi wa kutisha
 
Mtu akileta habari alete na ushahidi!
Watanzania tusiwe watu wakubeba taarifa/ umbea kama zilivyo ziwe za wasanii, wanasiasa au hata huku kwenye jamii zetu

Uzushi upo! Watu wanajua kupika habari hadi mhusika unabaki mdomo wazi...
Ukileta habari leta na ushahidi,

Uzushi ni mtamu kama hujapikiwa wewe..!🤸
 
Watoto pendwa wa Mama Kizimkazi na Godfather wao wa Msoga!
 
Karibu jukwaani mtetezi wa majizi
 
Tatizo halitatuliwi na akili zile zile zilizoleta tatizo
 
Mpina nadhani ushahidi wake unajitosheleza sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…