Kwa huu Ujumbe Sheikh anahatarisha maisha yake na Ustawi wa Serikal tukufu

Hivi tangu JF ifungiwe kurusha maudhui Tanzania mods bado wanafuta baadhi ya nyuzi au nao wameenda likizo kwa sasa? Sasa hivi watu wa UK na nchi nyingine wanafaidi sana maudhui ya JF. Poleni sana Watanzania.
 
Huyu kama sijakosea ni mtoto wa Marehemu sheikh Nasoro bachu, huwa haogopi kitu aliwahi kutoa maoni ya kuwachana masheikh wa Zanzibar walipomzuia sheikh wa kenya kuongea huko Zanzibar kisa alimsema rais Samia.
 
Hivi tangu JF ifungiwe kurusha maudhui Tanzania mods bado wanafuta baadhi ya nyuzi au nao wameenda likizo kwa sasa? Sasa hivi watu wa UK na nchi nyingine wanafaidi sana maudhui ya JF. Poleni sana Watanzania.
Tanzania wanatumia VPN kitu wanapata mubashara kama wewe ulioko UK na Mimi nilieko Kadesh na Makedonia
 
Back
Top Bottom