Lord Denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 23,491
- 57,973
Wanyongwe tuHeko CNN
Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa.
Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu.
Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi.
Yafuatayo
1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu.
2. Tanzania kutengwa rasmi kimataifa. Kuanzia sasa kama tumekubali Samia aendelee kuwa Rais basi tuseme kuwa tumekubali Taifa lianguke rasmi kiuchumi na Wananchi wateseke kwa sababu ya mtu 1.
Tutakuwepo.
Dunia imeshajua. Hata ICC wameshaona.There is no hiding now, the world knows
They cant pretend anymore
Dunia imeshajuaKwani tayari?
Duh ila siwezi anaglia siwezi tena🥲🥲🥲🤭
Mungu atusaidieDunia imeshajua
Vyombo viwili vya kimataifa Duniani vime confirm vyombo vya Ulinzi na Usalama kufanya Uhalifu dhidi ya Binadamu ( Crimes against Humanity)
Sasa ni suala la muda tu. Acha waendelee kucheza makida humu ndani ila kiuhalisia kwa sasa wako uchi duniani. Kilichofanyika kiko wazi.
Mwaka huu imekula kwaoMungu atusaidie
Naona na habil anapiga za chembe
Wewe utafanya nini?Mje tena tarehe 9 na ujinga wenu mkitegemea mna ICC kama kinga ya uovu wenu ndo mtajua fisi dume nae anapandwa
Kuficha ushahidi wamesha chelewaDunia imeshajua. Hata ICC wameshaona.
Kumteua Mchengerwa Waziri wa Afya kwenda kuficha ushahidi hakujasaidia. Dunia imeshajua
Kuteua Tume feki ya Uchunguzi ili kwenda kuficha maovu yaliyofanyika hakuhasaidia. Dunia imeshajua.
Saivi ni mwendo wa kutulia kusubiri kunyolewa na kushughulikiwa na Dunia tu.
Kikwete ndo mshauri ila kumgusa kijinai ni ngumu maana hana mamlaka ya kutoa maelekezo kwa vyombo vya ulinzi na usalama.Kikwete anawaingiza watu mkenge alafu katulia kimya kama hayupo vile....Mchengerwa mkwa wa bibi kupelekwa wizara ya afya kweli??
Bado unakaza tako?Mje tena tarehe 9 na ujinga wenu mkitegemea mna ICC kama kinga ya uovu wenu ndo mtajua fisi dume nae anapandwa
Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa DGIS, IGP na CDF hawana pa kutokea.Hili SUALA ni Zito sana ,linahitaji maamuzi MAGUMU na SAHIHI!
CC: CCM na TISS