Turudi pale Rau Madukani
JF-Expert Member
- Jan 16, 2016
- 2,793
- 5,898
Walijua wamefichama kumbe teknojia inawaona.
Ndugu zetu kumbe wamezikwa Kondo
Ndugu zetu kumbe wamezikwa Kondo
Mtakufa kweli na hiyo dunia inawatazama tu.Bado unakaza tako?
Endelea tu kukaza tako. Desemba 9 tunaandamana na tuueni wote ila jueni tu sasa Dunia imewakalia kooni.
Ndio maana nimewaCC miCCM n TISS labda kuna wachache wenye AKILI,ili kufanya MaamuziWakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa DGIS, IGP na CDF hawana pa kutokea.
Njia pekee iliyobaki ni kumuangushia jumba bovu Samia kuwa aliingiza vikosi kutoka nje na silaha bila wao kujua.
Na hii ni ngumu maana kama kulikuwa na vikosi kutoka nje walichukua hatua gani kuvidhibiti?
Dunia inakuwaga katili sana kwa watu wakatili.
Endelea kukaza tako tu. Sindano lazima ichomwe na dawa itaingia tuMtakufa kweli na hiyo dunia inawatazama tu.
Kuna Congo, Gaza, Ukraine na Sudan hiyo dunia sio ipo imefanya nini?
Ngoja usikie atakapofungua mdomo, aibu utaona wewe!There is no hiding now, the world knows
They cant pretend anymore
I wont be suprised, kama kawaifa yao wata pretend ka hamna kitu kama hikoNgoja usikie atakapofungua mdomo, aibu utaona wewe!
Maaamuzi ni yetu. Kuwapiga chini nchi ipone au kuwa wapumbavu tuwaache nchi iangamie.Nchi Inaenda Kupitia Hali Ngumu na mbaya kisa Watu wachache wenye roho Mbaya na Uchu wa kutawala
Sio mtu mmoja...Polepole aliwataka wahuni!Heko CNN
Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa.
Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu.
Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi.
Yafuatayo
1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu.
2. Tanzania kutengwa rasmi kimataifa na kuanguka vibaya kiuchumi. Kuanzia sasa kama tumekubali Samia aendelee kuwa Rais basi tuseme kuwa tumekubali Taifa lianguke rasmi kiuchumi na Wananchi wateseke kwa sababu ya mtu 1.
Tutakuwepo.
Tanzania tuna bahati mbaya sana. Yaani tumetoka kuwa mfano bora Afrika sahivi tunazungumzwa kama vituko vya Afrika.Sio mtu mmoja...Polepole aliwataka wahuni!
"A group of bandits"
Kwanza RPC wa mwanza Dar, Arusha, Mbeya walitakiwa kuwa wamefukuzwa kazi wapo jela mda huuHeko CNN
Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa.
Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu.
Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi.
Yafuatayo
1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu.
2. Tanzania kutengwa rasmi kimataifa na kuanguka vibaya kiuchumi. Kuanzia sasa kama tumekubali Samia aendelee kuwa Rais basi tuseme kuwa tumekubali Taifa lianguke rasmi kiuchumi na Wananchi wateseke kwa sababu ya mtu 1.
Tutakuwepo.
RPC ni dagaaa.Kwanza RPC wa mwanza Dar, Arusha, Mbeya walitakiwa kuwa wamefukuzwa kazi wapo jela mda huu
Walizima internet wakamtoa kafara Jerry Slaa kisa alikataa wasizime internet sasa wanajutia kumkomoa slaa kukosesha ubunge wataungana na akina Bashe Bashungwa na wote walokosa uwaziri kuidhoofisha nguvu ya kuficha ushahidiKuficha ushahidi wamesha chelewa
Wote wakamatwe wafikishwe ICC The Hague iwe fundishoRPC ni dagaaa.
Huu mziki wahusika wakuu ni Samia, DGIS, CDF na IGP.
Uzuri wa hii ngoma kwa sasa ilipofikishwa sio lazima hata ICC.Wote wakamatwe wafikishwe ICC The Hague iwe fundisho
Wana mlisha maneno ya kuzungumza, hata kauli zake zapishana kila akizungumza. Unaona kabisa wanatapatapaNgoja usikie atakapofungua mdomo, aibu utaona wewe!