PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Wewe utafanya nini?

Au kuna watu unawategemea?

Kupotea ni wakati wa kwenda tu.

Ni taahira tu huwa anapotea mara mbili
Achana na fala huyu anatafuta engagement za rage baiting, anatafuta nini huku kwenye thread za watafuta haki, si akaposti hiyo mikwala kwenye page za polisi
 
Kikwete ndo mshauri ila kumgusa kijinai ni ngumu maana hana mamlaka ya kutoa maelekezo kwa vyombo vya ulinzi na usalama.

Kumpeleka Mchengerwa Wizara ya Afya ni kama kutwanga maji kwenye kinu maana haijasaidia lolote na haitasaidia lolote. Ukweli na Ushahidi umeshafika Duniani.

Sio hivyo tu. Kuunda Tume ya Jaji Chande kujaribu kufunika uovu uliofanyika nalo halijasaidia lolote na ni kupoteza tu kodi za Wananchi maana ukweli tayari umeshafika duniani na hauwezi kuwa reversed.

Sasa ni rasmi. Samia, DGIS Mombo, IGP Wambura na CDF Mkunda ni wafungwa watarajiwa wa Mahakama ya ICC.

Uzuri kwa jambo lilivyofikishwa Duniani wanaweza sasahivi kutolewa hati ya Kukamatwa hata na Mahakama ya nchi yeyote ile itakayoweza kupokea maombi ya kuomba wakamatwe kwa uhalifu dhidi ya Binadamu.
Tume iliyoundwa na mama Dikteta kaburu Mkoloni anayeitawala Tanganyika kimabavu pasipo uchaguzi huru ni Tume batili feki magumashi isiyo na baraka za wapenda haki, Tume ya kweli ilipaswa kuwa hii hapa, mzee Warioba, jenerali ulimwengu, professor shivji, Asikofu bagonza, sheikh ponda, Dr Hellen kijo Bisimba, prof Anna Tibaijuka, Ringo Tenga, Prof mussa Assad, Deus kimbamba na wengineo wanaojielewa siyo kuunda Tume ya idiyo na meno itayokula pesa bure
 
Nawaonea huruma sana wazee wangu mahiri Lt. Gen Meela na George Madafa. Heshima zao zote zinaenda kuharibiwa pale.

Ile Tume ni kituko na inaenda kuzidi kumvua nguo huyu mpumbavu Samia. Hakuna chochote itakachookoa maana Watuhumiwa wote wanajulikana.
 
Huu muungano umetupatia nguruwe mbaya sana.bora tusingekuwa na huu muungano maana yasingetokea haya yote ya kuuliwa watanganyika kikatili namna hiyo halafu huyo nguruwe anapachika watoto wake kwenye nafasi za watanganyika.Tarehe tisa hatutakubali.bora tufe wote tukiipigania haki ili wajukuu wetu waje wafaidi kuliko kuishi kwenye ukandamizaji wa haki
 
Comrades!
Ni kweli chama kimeshinda uchaguzi!kweli! Hivyo hivyo!
Tunaendelea kushika Dola kama kawaida yetu!

Lakini,Ili tupone au jus neutralize hali ilivyo sasa!

Yona atoswe,kukiokoa chama na serikali yake!

Tunaweza ku fake kwamba anaumwa na hawezi kuendelea na majukum yake na Kwa mujibu wa kitabu makam aendelee kutekeleza ilani!!

Nawaza tu mwenzenu!

Mungu ibariki Tanzania!!!
Upo sahii upo unaenda vizuri na utabiri wa marehemu sheikh Yahya aliyetabiri Rais mwanamke hatafika mbali ataishia miaka michache
 
Huu muungano umetupatia nguruwe mbaya sana.bora tusingekuwa na huu muungano maana yasingetokea haya yote ya kuuliwa watanganyika kikatili namna hiyo halafu huyo nguruwe anapachuka watoto wake kwenye nafasi za watanganyika.Tarehe tisa hatutaikubali.bora tufe wote tukiipigania haki ili wajukuu wetu wake wafaidi kuliko kuishi kwenye ukandamizaji wa haki
Mkoloni kaburu Dikteta toka Zanzibar anaitawala Tanganyika kimabavu Kama ilivyokuwa Africa kusini enzi ya makaburu
 
Nawaonea huruma sana wazee wangu mahiri Lt. Gen Meela na George Madafa. Heshima zao zote zinaenda kuharibiwa pale.

Ile Tume ni kituko na inaenda kuzidi kumvua nguo huyu mpumbavu Samia. Hakuna chochote itakachookoa maana Watuhumiwa wote wanajulikana.
Samaki mmoja akioza wote wanaoza na huenda ICC ikawakamata IGP na maRPC wake kabla ya Tume feki haijamaliza kazi yake
 
Uzuri wa hii ngoma kwa sasa ilipofikishwa sio lazima hata ICC.

Mahakama za popote duniani zinaweza kutoa hati ya kuwakamata na kuendesha kesi dhidi ya hawa wapuuzi.

Wameshazungukwa kila kona. Hawana pa kutokea.
Zipo tetesi kuwa baadhi ya Ma-RPC na Polisiccm wanasitaafu harakaharaka kisha wakimbie nchi wakajifiche hata Jamaica au hata Libya au kokote watapowaona panawafaa
 
Samaki mmoja akioza wote wanaoza na huenda ICC ikawakamata IGP na maRPC wake kabla ya Tume feki haijamaliza kazi yake
Watafungua kwanza Uchunguzi then watatoa hati za kuwakamata.

Kwa tulipofika pona ya Mkuu wa Polisi, IGP na DGIS ni kuomba uhamisho nchi za nje na kumwaga ugali kumwangushia jumba bovu Samuya.
 
Zipo tetesi kuwa baadhi ya Ma-RPC na Polisiccm wanasitaafu harakaharaka kisha wakimbie nchi wakajifiche hata Jamaica au hata Libya au kokote watapowaona panawafaa
Kheri wafanye hayo maana kwa hali ilivyo mkono wa Sheria lazima uwe juu yao na Samia wao. Ni suala la muda tu.
 
Back
Top Bottom