Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 20,353
- 62,400
Tusameheane usipokubali kusamehe utalazimishwaUmeanza kufyataaa!! Si ulikua unabweka wee??
Unaogopa nn sasa? Mxxxiiiieeeew
Tusameheane usipokubali kusamehe utalazimishwaUmeanza kufyataaa!! Si ulikua unabweka wee??
Unaogopa nn sasa? Mxxxiiiieeeew
Umeanza kufyataaa!! Si ulikua unabweka wee??Tunaomba msisambaze hizo taarifa tusameheane ,usipokubali kusamehe utalazimishwa
Wanasema ni Kunduchi.Hilo eneo la kondo CNN wanalodai watu wamefukiwa kwani liko mkoa Gani? Je Kuna makazi ya watu huko?
😁Wameitisha kikao cha dharura baada ya ripoti ya CNN
Tumeumbuka mno aisee!Heko CNN
Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa.
Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu.
Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi.
Yafuatayo;
1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu.
2. Tanzania kutengwa rasmi kimataifa na kuanguka vibaya kiuchumi. Kuanzia sasa kama tumekubali Samia aendelee kuwa Rais basi tuseme kuwa tumekubali Taifa lianguke rasmi kiuchumi na Wananchi wateseke kwa sababu ya mtu 1.
Tutakuwepo.
Tena wee ukikamatwaa, waniletee mie, nikushughulikie.Tusameheane usipokubali kusamehe utalazimishwa
Dogo we endelea kujificha chini ya uvungu , vinginevyo ukiungana na nyumbu wenzako kuiba na kuharibu mali za watu ukikutana na mimi kabla ya polisi kukuua ujue nakuzika hai siku hiyo.Tena wee ukikamatwaa, waniletee mie, nikushughulikie.
Pumbaaav
Wee bweka hivyo hivyo, ukijichanganya kwa wahuni, umeishaaaa.Dogo we endelea kujificha chini ya uvungu , vinginevyo ukiungana na nyumbu wenzako kuiba na kuharibu mali za watu ukikutana na mimi ujue nakuzika hai siku hiyo.
Hao CNN waiache Tanzania ni taifa huru, na pili nahis Kwa kua ni mama na ni muislam ndo maana wamekomaa ,ila mama piga kazi,,Heko CNN
Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa.
Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu.
Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi.
Yafuatayo;
1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu.
2. Tanzania kutengwa rasmi kimataifa na kuanguka vibaya kiuchumi. Kuanzia sasa kama tumekubali Samia aendelee kuwa Rais basi tuseme kuwa tumekubali Taifa lianguke rasmi kiuchumi na Wananchi wateseke kwa sababu ya mtu 1.
Tutakuwepo.
Hii imeendaa jombaaHakuna comeback tena hapa. Kitaa wanasema "Hii imeenda"
Hao CNN waiache Tanzania ni taifa huru, na pili nahis Kwa kua ni mama na ni muislam ndo maana wamekomaa ,ila mama piga kazi,,
Mtoto mchelemchele wewe uhuni utoe wapiWee bweka hivyo hivyo, ukijichanganya kwa wahuni, umeishaaaa.
Nasemaje jichanganyee, nikufurahishee.Mtoto mchelemchele wewe uhuni utoe wapi
Hapana ccm wana machawa tu na siyo viroboto.ICC ipo na itakuwapo sana lakini haina uwezo kuzuia wahalifu wasipate adhabu stahiki wanapoleta vurugu.
Wewe ukifa kwenye hizo vurugu zenu hao wazazi au tegemezi wako watanufaika nini na hao ICC?
Bado watakuwapo mpaka VIROBOTO.
Nipe namba yako nikufate ulipoNasemaje jichanganyee, nikufurahishee.
Subiri muda muafaka, haina haja ya no.Nipe namba yako nikufate ulipo