PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

PostGE2025 Kwa huu ushahidi uliowekwa na CNN, Samia, DGIS, CDF na IGP tukutane ICC

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Watafungua kwanza Uchunguzi then watatoa hati za kuwakamata.

Kwa tulipofika pona ya Mkuu wa Polisi, IGP na DGIS ni kuomba uhamisho nchi za nje na kumwaga ugali kumwangushia jumba bovu Samuya.
Wanapanga kusitaafu wachukue mafao yao watoroke wakeishi congo au Burundi sehemu ambazo hawatajulikana walipo kama Joseph kabila sasa
 
Tunaomba msisambaze hizo taarifa tusameheane ,usipokubali kusamehe utalazimishwa
 
Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa DGIS, IGP na CDF hawana pa kutokea.

Njia pekee iliyobaki ni kumuangushia jumba bovu Samia kuwa aliingiza vikosi kutoka nje na silaha bila wao kujua.

Na hii ni ngumu maana kama kulikuwa na vikosi kutoka nje walichukua hatua gani kuvidhibiti?

Dunia inakuwaga katili sana kwa watu wakatili.
Unanikumbisha Crip ya Gaddafi aligaragazwa, acheni kabisa. Dunia ikikutaka hutoki nashangaa mtu anakaza trako dah
 
Unanikumbisha Crip ya Gaddafi aligaragazwa, acheni kabisa. Dunia ikikutaka hutoki nashangaa mtu anakaza trako dah
Acha waendeleze kiburi tu. Hawajui kusoma alama za nyakati ila ukweli ni kwamba tulipofika mbuzi ameshaelekea kibra. Kifuatacho ni kuchinjwa tu
 
Bado unakaza tako?

Endelea tu kukaza tako. Desemba 9 tunaandamana na tuueni wote ila jueni tu sasa Dunia imewakalia kooni.
Ila jamaa unaandika hatari...unaweza kuhisi nchi inaungua moto yote kumbe hakuna chochote kinachoendelea na wananchi wanachapa KAZI kama kawaida ..ww utakuwa pdre kitim
 
Comrades!
Ni kweli chama kimeshinda uchaguzi!kweli! Hivyo hivyo!
Tunaendelea kushika Dola kama kawaida yetu!

Lakini,Ili tupone au jus neutralize hali ilivyo sasa!

Yona atoswe,kukiokoa chama na serikali yake!

Tunaweza ku fake kwamba anaumwa na hawezi kuendelea na majukum yake na Kwa mujibu wa kitabu makam aendelee kutekeleza ilani!!

Nawaza tu mwenzenu!

Mungu ibariki Tanzania!!!
Umewaza vyema kabisa. Wapo wenye busara kama hizi
 
Heko CNN

Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa.

Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu.

Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi.

Yafuatayo;

1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu.

2. Tanzania kutengwa rasmi kimataifa na kuanguka vibaya kiuchumi. Kuanzia sasa kama tumekubali Samia aendelee kuwa Rais basi tuseme kuwa tumekubali Taifa lianguke rasmi kiuchumi na Wananchi wateseke kwa sababu ya mtu 1.

Tutakuwepo.
hamjamaliza tu kuandika barua zenu?
 
Hii ngoma ngumu kuchomoka!
 
Back
Top Bottom