KabisaHizi habari zinachukiza na kufurahisha kwa wakati mmoja
Na ni Nani aliye ruhusu nyang'au kuingia nchini?Wakuu wa vyombo vya Ulinzi na Usalama hasa DGIS, IGP na CDF hawana pa kutokea.
Njia pekee iliyobaki ni kumuangushia jumba bovu Samia kuwa aliingiza vikosi kutoka nje na silaha bila wao kujua.
Na hii ni ngumu maana kama kulikuwa na vikosi kutoka nje walichukua hatua gani kuvidhibiti?
Dunia inakuwaga katili sana kwa watu wakatili.
Nani wa kuwafukuza boss?Kwanza RPC wa mwanza Dar, Arusha, Mbeya walitakiwa kuwa wamefukuzwa kazi wapo jela mda huu
kwa hii dunia ya sasa utakimbilia nchi gani usidakwe?Zipo tetesi kuwa baadhi ya Ma-RPC na Polisiccm wanasitaafu harakaharaka kisha wakimbie nchi wakajifiche hata Jamaica au hata Libya au kokote watapowaona panawafaa
Hawa kuguswa ngumu. Aliyesema hakutakuwa na nywinywi wala nywinyinywi ni Samia mwenyeweNaona unawasahau hakina Bashungwa, yule mama aliyekuwa Waziri wa Ulinzi nanJeshi la Kujenga Taifa.
Hapa tulipofika ni ngumu tena Kwa Samia kuchomoka hakuna pa kujificha wala kufuta ushahidi..Dunia imeshajua. Hata ICC wameshaona.
Kumteua Mchengerwa Waziri wa Afya kwenda kuficha ushahidi hakujasaidia. Dunia imeshajua
Kuteua Tume feki ya Uchunguzi ili kwenda kuficha maovu yaliyofanyika hakujasaidia. Dunia imeshajua.
Saivi ni mwendo wa kutulia kusubiri kunyolewa na kushughulikiwa na Dunia tu.
Mzee malisa inasemekana kachukuliwa/ tekwa na wasio julikana aliwezaje kutoa statement zile maana haya mambo yanavyo enda unaweza sema Tupo Zimbabwe ya Mugabe.Kwa hizo picha nimeipata hasira sana hadi natamani December tisa iwe kesho ili nikinukishe sawasawa hadi kumtoa huyu mzanzibari na kumpeleka ICC
Vijana wa mtaani wanasema imeisha hiyo.💥💥
Kimewaka duniani huko!
Mkeka karibu unatiki!....
Watajibu wenyewe. Sie hayatuhusuNa ni Nani aliye ruhusu nyang'au kuingia nchini?
Sasahivi tunaanza ku document watu wote wanaotekwa na kupotezwa ili kuzima upuuzi wa uchaguzi.Mzee malisa inasemekana kachukuliwa/ tekwa na wasio julikana aliwezaje kutoa statement zile maana haya mambo yanavyo enda unaweza sema Tupo Zimbabwe ya Mugabe.
Ukipaza saut umeingia kwenye death Raw..
Wajaribu kama halijafika UN Security Council.Baada ya hii exposure ,kweli serikali inayo hamu ya kuua tena D9?
Hicho kikao kitawasaidia nini?Wameitisha kikao cha dharura baada ya ripoti ya CNN
Kwa nini wasifanye ikiwa bado wanateka? Kwa sasa hawana cha kupoteza. Kama ni ICC wanajua tayari wamenasaBaada ya hii exposure ,kweli serikali inayo hamu ya kuua tena D9?
Wakifika huko nitajitolea japo mara moja kuwaletea chai,kwani nitakuwa na jambo la kutetanao.Heko CNN
Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa.
Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu.
Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi.
Yafuatayo;
1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu.
2. Tanzania kutengwa rasmi kimataifa na kuanguka vibaya kiuchumi. Kuanzia sasa kama tumekubali Samia aendelee kuwa Rais basi tuseme kuwa tumekubali Taifa lianguke rasmi kiuchumi na Wananchi wateseke kwa sababu ya mtu 1.
Tutakuwepo.
Pia soma > Breaking News: - CNN LIVE: Evidence Tanzania Police Killed Protestors
Uliyoyasema ni kweli tupu na hali ya uchumi imeishaanza kuwa tete; juzi wamepandisha tozo kwenye umeme na muda si mrefu watapandisha kwenye maji!! Samia hana huruma na Nchini hii, anatangaza kuwa hali ya uchumi itakuwa ngumu at the same time nakuwa na cabinet ya watu lukuki!! Hajui kwamba kuwa na cabinet kubwa ni gharama kubwa kwa serikali omba omba kama Tanzania? Anafanya hivyo kwa kutokujua au makusudi kuwakomoa watanganyika?Heko CNN
Ukisikia investigative Journalism ndo hii sasa.
Ukisikia uandishi wa habari wa kiuchunguzi ndo huu.
Dunia imejua rasmi kilichotokea Tanzania kipindi cha Uchaguzi na baada ya uchaguzi.
Yafuatayo;
1. Samia, CDF, DGIS na IGP tukutane ICC. Jinai haifi wala haiozi. Ni suala la muda tu.
2. Tanzania kutengwa rasmi kimataifa na kuanguka vibaya kiuchumi. Kuanzia sasa kama tumekubali Samia aendelee kuwa Rais basi tuseme kuwa tumekubali Taifa lianguke rasmi kiuchumi na Wananchi wateseke kwa sababu ya mtu 1.
Tutakuwepo.
Pia soma > Breaking News: - CNN LIVE: Evidence Tanzania Police Killed Protestors