ngosha wa mwanza
JF-Expert Member
- Feb 23, 2015
- 5,059
- 15,862
Kwa walipotufikisha hawa washenzi acha washughulikiwe kimataifa.Kuna ile video ya arusha yule mtoto anamwambia mamaaa amka mama amka mm ni mwanaume ila chozi limenitoka bila hata kulia yaan nimehisi maumivu makali sana hata kuangalia ile repoti yote nimeshindwa
Kuanzia January ndo kila mtu atanena kwa lugha.Uliyoyasema ni kweli tupu na hali ya uchumi imeishaanza kuwa tete; juzi wamepandisha tozo kwenye umeme na muda si mrefu watapandisha kwenye maji!! Samia hana huruma na Nchini hii, anatangaza kuwa hali ya uchumi itakuwa ngumu at the same time nakuwa na cabinet ya watu lukuki!! Hajui kwamba kuwa na cabinet kubwa ni gharama kubwa kwa serikali omba omba kama Tanzania? Anafanya hivyo kwa kutokujua au makusudi kuwakomoa watanganyika?
Mje tena tarehe 9 na ujinga wenu mkitegemea mna ICC kama kinga ya uovu wenu ndo mtajua fisi dume nae anapandwa
Samia alivyokuwa anaongea jana ni kweli ana mikakati ya kufuta ushahidi, pia wanataka kuwajua wenye ushahidi ni akina nani ili wawatishie ikiwezekana kuwaua.Wananchi msiwape ushirikiano hao tume ya uchunguzi.Samia na wahuni ni wauaji wasio na huruma.Dunia imeshajua. Hata ICC wameshaona.
Kumteua Mchengerwa Waziri wa Afya kwenda kuficha ushahidi hakujasaidia. Dunia imeshajua
Kuteua Tume feki ya Uchunguzi ili kwenda kuficha maovu yaliyofanyika hakujasaidia. Dunia imeshajua.
Saivi ni mwendo wa kutulia kusubiri kunyolewa na kushughulikiwa na Dunia tu.
Hata sijui anajisikiaje kushiriki kwa karibu hivi kuharibu nchi. Nilikuwa bado nahisi watu wanamsema vibaya tu, ila baada ya uchaguzi feki, nilielewa. Huyu Mzee ndio wa kulaumiwa kwa haya yote. Siamini kama amekubali kuishilizia vibaya hivi. Such a disappointment. Kumbe nchi ilikuwa inabebwa na wale wazee waliofariki maskini.. Mwinyi, Mkapa. Huyu ni bure kabisa.Kikwete anawaingiza watu mkenge alafu katulia kimya kama hayupo vile....Mchengerwa mkwe wa bibi kupelekwa wizara ya afya kweli??
Mashoga hua mna jitutumua ili muonekane wewe na ***** na machoko wenzako mtafanya nn kipyaMje tena tarehe 9 na ujinga wenu mkitegemea mna ICC kama kinga ya uovu wenu ndo mtajua fisi dume nae anapandwa