The Phylosopher
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 1,968
- 2,957
Kwa hiyo waziri pale anafanya kazi ganiWaziri ndiyo ameendesha hayo magari? Ajali zipo kila mahala hp duniani madereva wafuate taratibu za uendeshaji magari. Yale mabasi yanajulikana kwa speed hasa Asante Rabi, cha ajabu abiria ndiyo wanafurahia.
Waziri haponi kwenye hayo mambo sababu yeye ni msimamizi wa utekelezaji wa sera na Sheria kwa maslahi ya umma analipwa kwa kazi hiyo!! Kwa nini wasimamizi wa Sheria wapo!?Yaani madereva wanaedesha magari wakiwa wamelewa na hawafuati sheria za barabaran halafu mnataka waziri ndo awajibike! ?
Tatizo waafrica hujazoea kujusimamia wenyewe mpk tusimamiwe ndio maana unaona ni sawa t kumuajibisha waziri apoWaziri haponi kwenye hayo mambo sababu yeye ni msimamizi wa utekelezaji wa sera na Sheria kwa maslahi ya umma analipwa kwa kazi hiyo!! Kwa nini wasimamizi wa Sheria wapo!?
Hakuna nchi duniani watu wanajisimamia wenyewe nenda china ukavunje Sheria kama huta liwa kichwa!!Tatizo waafrica hujazoea kujusimamia wenyewe mpk tusimamiwe ndio maana unaona ni sawa t kumuajibisha waziri apo
Sw hamna ila ukienda china hukuti utitizi wa ajali zinazosababishwa na ulevi na uzembe wa madereva tena usafiri wa umma!!Hakuna nchi duniani watu wanajisimamia wenyewe nenda china ukavunje Sheria kama huta liwa kichwa!!
Nakumbuka Magufuli aliwahi kupewa maneno magumu sana baada ya ajali kuongozana kwa wingi. Unaweza usione mantiki ya uamuzi ule lakini ukweli ni kwamba kuna uhusiano mkubwa sana kati ya uongozi unaolegalega na ajali ambazo zinaondoa maisha ya watu kila siku.
Inaniuma sana kusikia karibia kila siku iendayo kwa Mungu Watanzania wenzetu wanakufa kwa ajali na wengine kupata ulemavu wa kudumu uharibifu mkubwa wa muda na mali huku mamlaka husika zikisalia mabubu.
Tusikwepeshe maneno ni kwamba mamlaka zilizowekwa kusimamia mambo ya usalama barabarani hazitimizi wajibu wake hivyo mambo yanaenda kiholela tu lazima waziri awajibikeAjari zimekuwa nyingi, inawezeka askari wa barabarani hawafanyi kazi kwa weledi maana ajari nyingi sababu ni mwendo kasi
ushauri kwa madereva wazngatie sheria na wasitumie vilevi