Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akitekeleza tutamshukuru kwa kutimiza wajibu.

Kimsingi mtu hapongezwi kwa kufanya wajibu wake, bali kwa kufanya zaidi ya wajibu.

Uchawa is order of the day kwa mijitu kama wewe
 
Akitekeleza tutamshukuru kwa kutimiza wajibu.

Kimsingi mtu hapongezwi kwa kufanya wajibu wake, bali kwa kufanya zaidi ya wajibu.

Uchawa is order of the day kwa mijitu kama wewe
Wewe ni mpumbavu na fala,Kwa hiyo Watoto wako Huwa unawafanyia sherehe za kufaulu Kwa sababu gani?

Serikali au mtu hapongezwi Kwa kutimiza wajibu wake? Wewe ni mzima kichwani kweli au wivu unakusumbua? Wafanyakasi Bora Huwa mnawapongeza Kwa kutimiza wajibu wa nani? Hater πŸ˜†πŸ˜†

Mwisho kumbe endelea kumshukuru Samia Kwa Kasi nzuri huko Mwanza.
 
Ninachojivunia ni kwamba najua namna ya kubonyeza PANIC BUTTON.

Welcome to the weldi chawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…