Nasema wewe fukara wa makete punguzeni ngono ukimwi utawamaliza, afu pia hameni huko maporini ambako hata watumishi wa umma wanakwepa kuja kuwahudumia, na mwisho utapiamlo utawaua 🤣🤣🤣🤣
Watanzania wanataka kufanya kazi kwenye neema tu, Naibu waziri amesema ni kitu ambacho hakiwezekani🤣🤣🤣🤣
👇👇👇👇👇
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, ameonesha kushangazwa na idadi ndogo ya waombaji wa nafasi za kazi kada ya afya waliokuwa wameomba katika mikoa ya Kigoma, Katavi, Lindi na Mtwara huku mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma ikiwa na idadi kubwa ya waombaji ukilinganisha na uhitaji.
Hatua hii inakuja kufuatia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuweka utaratibu wa kuomba ajira katika mkoa husika kulingana na uhitaji ambapo mwezi Juni mwaka huu ilitangaza jumla ya nafasi za kazi 9483 za kada ya afya ambapo kila muombaji alilazimika kuomba ajira katika mkoa ambao atafanya kazi endapo atafanikiwa kupita kwenye usaili.
Amesema licha ya tatizo kubwa la ajira linalowakumba vijana wengi lakini bado waombaji hao wanataka kuanza kufanya kazi katika Majiji makubwa jambo ambalo ni gumu