Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Naona hizo funza za makete siku hizi zinakula hadi ubongo 😂😂, hivi kumbe huo mchoro unaojisifia nao hapa umeshazinduliwa!😄 na watu wwnatibiwa humohumo kwenye mchoro🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huwezi kuwa na akili Kwa sababu umezaliwa Mikoa ya mafukara.

Mada yangu ni miradi inayoendelea na ujenzi na sio kuzinduliwa.

Wacha kutapatapa Tulia dozi ya Samia ikolee.
 
Kumbe Samia ni tajiri hivyo , mpaka anatoa mapesa mfukoni kufadhili miradi ya umma.

Analipwa mshahara kiasi gani?
 
Huwezi kuwa na akili Kwa sababu umezaliwa Mikoa ya mafukara.

Mada yangu ni miradi inayoendelea na ujenzi na sio kuzinduliwa.

Wacha kutapatapa Tulia dozi ya Samia ikolee.
Umezaliwa ufakarani kusini huwezi kuwa na akili, umesahau umezungumzia kuzindua😃😃😃, kwa hiyo mmezindua michoro🤣🤣🤣😄
 
Fukara wa Mwanza unaongea nini? 😁😁👇👇
20241230_084020.jpg
 
Fukara wa Mwanza unaongea nini? 😁😁👇👇
View attachment 3189568
Nasema wewe fukara wa makete punguzeni ngono ukimwi utawamaliza, afu pia hameni huko maporini ambako hata watumishi wa umma wanakwepa kuja kuwahudumia, na mwisho utapiamlo utawaua 🤣🤣🤣🤣
Ndio mkuu ni tajiri
Watanzania wanataka kufanya kazi kwenye neema tu, Naibu waziri amesema ni kitu ambacho hakiwezekani🤣🤣🤣🤣
👇👇👇👇👇
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, ameonesha kushangazwa na idadi ndogo ya waombaji wa nafasi za kazi kada ya afya waliokuwa wameomba katika mikoa ya Kigoma, Katavi, Lindi na Mtwara huku mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma ikiwa na idadi kubwa ya waombaji ukilinganisha na uhitaji.

Hatua hii inakuja kufuatia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuweka utaratibu wa kuomba ajira katika mkoa husika kulingana na uhitaji ambapo mwezi Juni mwaka huu ilitangaza jumla ya nafasi za kazi 9483 za kada ya afya ambapo kila muombaji alilazimika kuomba ajira katika mkoa ambao atafanya kazi endapo atafanikiwa kupita kwenye usaili.

Amesema licha ya tatizo kubwa la ajira linalowakumba vijana wengi lakini bado waombaji hao wanataka kuanza kufanya kazi katika Majiji makubwa jambo ambalo ni gumu
 
🤣🤣🤣🤣 Umeandika Maneno meengi ila ni uharo mtupu kama wa Mwanza 👇👇
Screenshot_20241225-080150.jpg
Screenshot_20241225-080403.jpg
Screenshot_20241225-080331.jpg

Saizi ndio Samia anahangaika kuondoa huo uchafu wenu na umaskini wa Mwanza.
 
🤣🤣🤣🤣 Umeandika Maneno meengi ila ni uharo mtupu kama wa Mwanza 👇👇View attachment 3189840View attachment 3189841View attachment 3189842

Saizi ndio Samia anahangaika kuondoa huo uchafu wenu na umaskini wa Mwanza.
Hakuna Tajiri mwenye utapiamlo
 
Attachments

  • Screenshot_2025-01-01-15-25-06-35_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    Screenshot_2025-01-01-15-25-06-35_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    149.3 KB · Views: 5
Hakuna Tajiri mwenye utapiamlo
Hujui hata ku post picha.

Mwanza mnatia aibu Nchi Kwa ufukara wenu 😆😆😆
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.53-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.48-PM.jpeg
slum tourism mwanza 1.jpg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.42-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.49-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.51-PM.jpeg
WhatsApp-Image-2022-12-06-at-5.42.54-PM-1024x683.jpeg
 
Attachments

  • images-4.jpg
    images-4.jpg
    75.3 KB · Views: 7
Vitu vya kijinga ni hao makapuku ambao hawana uwezo wa kujikimu hata kwa lishe, Kwenu makete na hilo likijiji likubwa ni utapiamlo mtupu.
Wenye uwezo wa kupata Lishe kutoka Mwanza is Slum 😁😁👇👇

Back
Top Bottom