Pre GE2025 Kwa huu utitiri wa miradi aliyomwaga Rais Samia mkoa wa Mwanza, angekuwa anatokea kanda ya Ziwa wapinzani wangesema anapendelea kwao

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Attachments

  • Screenshot_2024-12-29-18-09-03-85_439a3fec0400f8974d35eed09a31f914.jpg
    271.6 KB · Views: 3
Mambo madogo madogo hayo, hakuna jipya,
Soma hiyooo, najua utazimia ila ukizinduka kunywa maji ya baridi.
Ukiacha kwamba hujui hata ku post mengi ukiyoongea hapo ni aibu tupu.

Pia mada ni Mwanza unaweka mambo ya Nchi ,nikikuwekea ya Samia ya Nchi si utakimbia jukwaa ikiwa tuu ya Mwanza ni makubwa hivyo?

Unamuaibisha marehemu hawezi kushindana na Samia Kwa Sasa sawa wewe msukule wake?

Mwanza ya Samia ni πŸ”₯πŸ”₯, kazi inaendelea hapo Sekou Toure πŸ‘‡ πŸ‘‡
 
kuna aibu zaidi ya kujisifia na michoroπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Mradi wa Meli ya MV Mwanza bekee wenye thamani ya 89bn ni zaidi ya vimiradi vyenu vyooote ndani ya Mwanza
 
kuna aibu zaidi ya kujisifia na michoroπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚, Mradi wa Meli ya MV Mwanza bekee wenye thamani ya 89bn ni zaidi ya vimiradi vyenu vyooote ndani ya Mwanza
Hata uwe na mradi mmja wa Trilioni 20 ila kama haugusi maisha ya watu Kwa mahitaji yake ni pambo.

Meli anaijenga nani? πŸ˜†πŸ˜†

Mwisho hakuna michoro nenda site kazi inaendelea.

Utamuaibisha huyo marehemu wako tukibadili mada maana unapolingia vituo vya Afya 400 Kwa miaka 5 nitakuonesha vituo vya Afya zaidi ya 600 Kwa miaka 4.
 
yaani akili yako haijui meli inapandwa na watu na inabeba mizigo ya watu!! 🀣🀣
 
yaani akili yako haijui meli inapandwa na watu na inabeba mizigo ya watu!! 🀣🀣
Kwa Sasa hakuna meli,mizigo na watu hawasafiri? πŸ˜†πŸ˜†

Tufanye ni kweli,hiyo meli inaundwa na Serikali ya Rais gani? Au ilishazinduliwa na Mwendazake inatumika huko? πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kwa Sasa hakuna meli,mizigo na watu hawasafiri? πŸ˜†πŸ˜†

Tufanye ni kweli,hiyo meli inaundwa na Serikali ya Rais gani? Au ilishazinduliwa na Mwendazake inatumika huko? πŸ˜‚πŸ˜‚
Naona hizo funza za makete siku hizi zinakula hadi ubongo πŸ˜‚πŸ˜‚, hivi kumbe huo mchoro unaojisifia nao hapa umeshazinduliwa!πŸ˜„ na watu wwnatibiwa humohumo kwenye mchoro🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Mikoa ya kusiniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜„πŸ˜„, mikoa tengwaπŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„, mikoa iliyosahaulikaπŸ˜„πŸ˜„,
Watanzania hawapendi shida kabisa, kwenye ajira za afya waliambiwa waombe kila mtu mkoa wanaotaka kufanyia kazi, watanzania wanavyopenda raha wote wakaomba dar, Mwanza na Dodoma πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ hawataki kabisa kusikia tabu na shida za mavumbini kusini🀣🀣🀣
 
Mwanza na Kanda ya Ziwa ni Mikoa ya mafukara usitupigie kelele
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…