ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
- Thread starter
-
- #341
Huwezi kuwa na akili Kwa sababu umezaliwa Mikoa ya mafukara.Naona hizo funza za makete siku hizi zinakula hadi ubongo ππ, hivi kumbe huo mchoro unaojisifia nao hapa umeshazinduliwa!π na watu wwnatibiwa humohumo kwenye mchoroπ€£π€£π€£π€£π€£π€£
Mafukara wanapambana na utapimlo huko kusiniππππ, lishe ni shida kwa mafukaraππππMwanza na Kanda ya Ziwa ni Mikoa ya mafukara usitupigie kelele
Umezaliwa ufakarani kusini huwezi kuwa na akili, umesahau umezungumzia kuzinduaπππ, kwa hiyo mmezindua michoroπ€£π€£π€£πHuwezi kuwa na akili Kwa sababu umezaliwa Mikoa ya mafukara.
Mada yangu ni miradi inayoendelea na ujenzi na sio kuzinduliwa.
Wacha kutapatapa Tulia dozi ya Samia ikolee.
Ndio mkuu ni tajiriKumbe Samia ni tajiri hivyo , mpaka anatoa mapesa mfukoni kufadhili miradi ya umma.
Analipwa mshahara kiasi gani?
Fukara wa Mwanza unaongea nini? ππππUmezaliwa ufakarani kusini huwezi kuwa na akili, umesahau umezungumzia kuzinduaπππ, kwa hiyo mmezindua michoroπ€£π€£π€£π
Nasema wewe fukara wa makete punguzeni ngono ukimwi utawamaliza, afu pia hameni huko maporini ambako hata watumishi wa umma wanakwepa kuja kuwahudumia, na mwisho utapiamlo utawaua π€£π€£π€£π€£Fukara wa Mwanza unaongea nini? ππππ
View attachment 3189568
Watanzania wanataka kufanya kazi kwenye neema tu, Naibu waziri amesema ni kitu ambacho hakiwezekaniπ€£π€£π€£π€£Ndio mkuu ni tajiri
π€£π€£π€£π€£ Umeandika Maneno meengi ila ni uharo mtupu kama wa Mwanza ππNasema wewe fukara wa makete punguzeni ngono ukimwi utawamaliza, afu pia hameni huko maporini ambako hata watumishi wa umma wanakwepa kuja kuwahudumia, na mwisho utapiamlo utawaua π€£π€£π€£π€£
Watanzania wanataka kufanya kazi kwenye neema tu, Naibu waziri amesema ni kitu ambacho hakiwezekaniπ€£π€£π€£π€£
πππππ
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, Deus Sangu, ameonesha kushangazwa na idadi ndogo ya waombaji wa nafasi za kazi kada ya afya waliokuwa wameomba katika mikoa ya Kigoma, Katavi, Lindi na Mtwara huku mikoa ya Dar es Salaam, Mwanza na Dodoma ikiwa na idadi kubwa ya waombaji ukilinganisha na uhitaji.
Hatua hii inakuja kufuatia Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kuweka utaratibu wa kuomba ajira katika mkoa husika kulingana na uhitaji ambapo mwezi Juni mwaka huu ilitangaza jumla ya nafasi za kazi 9483 za kada ya afya ambapo kila muombaji alilazimika kuomba ajira katika mkoa ambao atafanya kazi endapo atafanikiwa kupita kwenye usaili.
Amesema licha ya tatizo kubwa la ajira linalowakumba vijana wengi lakini bado waombaji hao wanataka kuanza kufanya kazi katika Majiji makubwa jambo ambalo ni gumu
Hakuna Tajiri mwenye utapiamloπ€£π€£π€£π€£ Umeandika Maneno meengi ila ni uharo mtupu kama wa Mwanza ππView attachment 3189840View attachment 3189841View attachment 3189842
Saizi ndio Samia anahangaika kuondoa huo uchafu wenu na umaskini wa Mwanza.
Hujui hata ku post picha.Hakuna Tajiri mwenye utapiamlo
Mikoa ya Iringa, Njombe, Rukwa yaongoza kwa Watoto wenye Udumavu Tanzania
Licha ya Mikoa ya Kusini kutajwa kuwa miongoni mwa maeneo yenye uzalishaji mkubwa wa Chakula Tanzania, mikoa hiyo bado ina Utapiamlo ambao umekuwa ukiathiri ukuaji wa Watoto kwa (46.2%). Takwimu za NBS zinaonesha 30% ya Watoto wenye chini ya miaka 5 Nchini wana Udumavu. Mkoa wa Dar es Salaam...www.jamiiforums.com
Kule kwenu makete kwa makapuku hapo ndo kama london yenuπππHujui hata ku post picha.
Mwanza mnatia aibu Nchi Kwa ufukara wenu πππView attachment 3190004View attachment 3190005View attachment 3190006View attachment 3190007View attachment 3190008View attachment 3190009View attachment 3190010
Hii picha umeiba Nchi gani? Yaani hata Mwanza ambako Kuna ufukara huwezi Kuta picha kama hii ππKule kwenu makete kwa makapuku hapo ndo kama london yenuπππ
check johannesburg hiyo, lakin zaidi mara mia na town yenu ya makapuku mliokosa lishe hapo maketeππ€£π
Vitu vya kijinga ni hao makapuku ambao hawana uwezo wa kujikimu hata kwa lishe, Kwenu makete na hilo likijiji likubwa ni utapiamlo mtupu.Hii picha umeiba Nchi gani? Yaani hata Mwanza ambako Kuna ufukara huwezi Kuta picha kama hii ππ
Usifananishe Mbeya na vitu vya kijinga ππ
View: https://www.instagram.com/p/DESXGIzo6uK/?igsh=MWJ4M3ZvMjdpczFzNQ==
Wenye uwezo wa kupata Lishe kutoka Mwanza is Slum ππππVitu vya kijinga ni hao makapuku ambao hawana uwezo wa kujikimu hata kwa lishe, Kwenu makete na hilo likijiji likubwa ni utapiamlo mtupu.
Sexer Malya sports complex,kazi inaendelea π π
View: https://www.instagram.com/p/DExyBQhMN12/?img_index=1&igsh=a2I0NTV5OTR6cGxv